Elugata mkuu wangu Russia wangekua na hayo makombola america wasingekua na ubabe!!!
Swali dogo sana naomba unijibu. Nitajie vita aliyopigana mmarekani peke yake na akashinda? Unaposema USA katika swala la vita jua lazima umtaje
Nato na its allies. Linapokuja swala la russia huwa anasimama mwenyewe bila kuwa na mtu pembeni. Hivi jiulize marekani bila support ya NATO, UK, France, Canada na Germany atampiga nani katika hii dunia. Unakumbuka aliposema assad amecross red line, UK na France wakakataliwa kwenda vitani ilikuwaje?
Pia jiulize ni kwanini USA anahangaika kusogeza vituo vyake vya kijeshi karibu na mipaka ya russia wakati yeye mrusi kila kitu kakificha ndani ya mipaka yake?