Recent content by KIBOKO MSHELI

  1. KIBOKO MSHELI

    Natafuta mume jaman

    sina degree lakini nina uwezo wa kukusugua ipasavyo je uko tayari?
  2. KIBOKO MSHELI

    Mtukufu rais wetu na huu ni uongo?

    Ndio hizi shule alisema, zitaunganishwa na mtandao wa internet nchi nzima? kweli huyu Rais hayuko serious!
  3. KIBOKO MSHELI

    Majina halisi ya WanaJF waliofariki

    walale salama wapendwa, mungu atawafufua siku ya mwisho...hivi malaria sugu yuko hai? tusije tukamsahau katika hizi rehema.
  4. KIBOKO MSHELI

    PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

    Mkuu kumbuka hii kitu "The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything."
  5. KIBOKO MSHELI

    PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

    mkuu tumia mdomo kuongea!
  6. KIBOKO MSHELI

    Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

    "mpumbavu wewe, usiku wa leo wanaitaka roho yako" - asema bwana!
  7. KIBOKO MSHELI

    Men perfume

    Mnh..naona una hela za mchezo, elfu thelathini perfume tu? jamani?
  8. KIBOKO MSHELI

    Live kutoka NMC-ARUSHA

    Msikiti wa Bondeni!
  9. KIBOKO MSHELI

    Wakiitwa makahaba kutoka bongo movie kuna makosa?

    Nakumbuka wimbo mmoja wa BAHATI BUKUKU una mistari inayosema, "Nani aitikise dunia makahaba wamjue mungu?"
  10. KIBOKO MSHELI

    Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

    Uwanja wa reli haufai kwa mikutano ya CHADEMA, jinsi polisi wanavyotufatafata, na pale kuna ukuta na hakuna uwazi wa kutosha si watatukamata kama kuku!
  11. KIBOKO MSHELI

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    irudishe ulikoitoa mamii!
  12. KIBOKO MSHELI

    Uchaguzi CCM: Waliopiga kura ya kumtoa Pinda kuadhibiwa

    Kigwangala yu wapi na maamuzi yake magumu? kakimbia press conference? CCM wanafiki wengi sana!
  13. KIBOKO MSHELI

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!
  14. KIBOKO MSHELI

    Prof Lipumba kupokewa (KIA) ARUSHA akitokea Brussels.

    mkuu wewe ni mjinga sana, who is Lipumba mpaka ashughulikie kushuka kwa EURO! are you serious? unajua unachokisema kweli?
  15. KIBOKO MSHELI

    Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

    kwanini mnasema hawa ni makahaba wenye viwango? viwango vipi? mbona mm nawaona ni wachafu tu!
Back
Top Bottom