CHADEMA si kimbilio la wasomi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA si kimbilio la wasomi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zawadi Ngoda, Sep 18, 2012.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.

  Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.

  Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.

  Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.

  Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ngiba yamba nasa.
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe ni Zawadi au Hasara?
  Hapo kwenye red una maana gani?
  Nchi yenu akina nani?

  Unaendelea na propaganda za domo-krasia, unakifu
   
 4. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rubbish. I thought you had a statistical evidence about your research, oh kumbe ulikuwa unaongelea hasira zako za kuona CDM inavyopendwa sana na wananchi. Lakini kumbuka kwamba hao unaowadharau eti hawajasoma ndo wapiga kura. Ungekuwa unawadharau hivyo halafu hapigi kura ningekuona wewe msomi, Wewe ni bure kabisa. Kama umesoma kama unavyojigamba basi tumia elimu yako kurekebisha Chama chako hicho ambacho unakiona ni bora.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nyimbo zenu tumezizoea!!!!
   
 6. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  chama cha wahuni wanaotumiwa kumwaga damu kwa ujira kidogo.
   
 7. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 60
  Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Chama gani Tanzania ni kimbilio la wasomi? Mbona naona chama unachoamini ni kimbilio la wasomi kimegeuka kimbilio la wezi, wala rushwa na waganga njaa? Common, wasomi wapo wapo tu bwana!
   
 9. KIBOKO MSHELI

  KIBOKO MSHELI Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!
   
 10. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Nyege za kisiasa mbaya sana ona hoja zake ko vjana wa vijiweni sio wapiga kula.
   
 11. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  uamsho! tangulia KIA ya arusha ukampokee porofesa wa uchumi anatoka belgium kutatua tatizo la kuanguka kwa Euro.
   
 12. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
  professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
   
 13. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwanza kabisa nikupongeze kwa tafiti yako, maana naamini umetumia muda mwingi, rasilimali na nguvu katika kufanikisha tafiti hii, hapa napenda wachangiaji wasianze kuulizia methodology ulioitumia maana vitu vingine vipo wazi tu.

  Kwanza napenda kuunga mkono hoja yako kuwa chadema sio kimbilio la wasomi bali ni kimbilio la failures. Hii nimekuwa nikiishuhudia mara kwa mara kwa kuangalia wanachama wengi wa chadema katika eneo ninaloishi, nikagundua wengi ni MATEJA, WEZI, VIJANA WA VIJIWENI. Nikaenda mbali zaidi nikagundua wengine wanaoiunga mkono chadema ni hawa WAKIMBIZI KUTOKA NCHI JIRANI ambao wanaishi hapa nchini kinyume na sheria. Makundi haya ya watu mara nyingi hawatambuliki katika daftari la kudumu la wapiga kura, kwa maana hiyo hawana kadi rasmi ya mpiga kura, ambapo kimsingi hawawezi kutekeleza haki ya kupiga kura.

  Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.

  Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.

  Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.

  Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.
   
 14. m

  maselef JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zawadi jaribu kurejea mifano ya Chaguzi ndogo Jimbo la Tarime na Arumeru utapata jibu la uhakika. Je kura waliozopata CHADEMA katika majimbo hayo zilitoka kwa vijana wa vijiweni? Je kura zote walizopata CHADEMA zilitoka kwa wasomi au vijana wa vijiweni? Otherwise, you are just running your mouth
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  si ungenyamaza kimya tu,ona sasa ulivyojivua nguo hadharani.
   
 16. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,082
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha! Kwenye hizo red; Sijui kama umeshawahi kukutana na ujumbe unaofanana na huu: "sikuja kwa ajili ya wenye shibe bali wenye njaa" na hao uliowataja hapo wanaangukia katika kundi hili (la wenye njaa). Nani kaleta njaa? Ni CCM kwa sera na mipango yake mibovu - sera na mipango mibovu katika elimu, afya, n.k.

  Kwa kuwa malengo na sera za Chadema ni kumkomboa mtanzania na madhila ya utawala wa CCM na kwa kuwa waathirika wakuu ni hao unaowabeza, haishangazi, kama unavyodai mwenyewe, kwamba kundi hilo ndio "waliojazana" Chadema. Na "habari njema" japo mbaya kwako na mafisadi wenzako, ni kwamba hili ndilo kundi kubwa la watanzania. Natumaini umepata message.
   
 17. e

  emgitty06 Senior Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi threaad kama hizi huwa zinajadiliwa nazo?!!
   
 18. M

  Mboko JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Zawadi Ngoda Lol pole sana na mawazo yako mgando halafu wewe nakufahamu sana wewe na familia yako kwenu kwanza kumechoka sana barabara vumbi kila kona na kila leo mnamchagua Mbunge wa CCm mbunge wenu ni Ngwilizi kama sikosei nafahamu kijijini kwenu nyie na Magamba Ccm lakini hakuna cha maana mnachopata sasa kama Chadema wana elimu ndogo na wale Magamba waliosoma Havad wamefanya nini kama sio kuwa wezi ati mabilioni waliyoiba wanaita vijisenti na huyo kasoma Havad ati Lol nilipata bahati ya kutembelea Lushoto aisee kumechoka ni mbaya poleni walushoto kwa kuwapa Magamba kula.Kumbukeni uongozi hausomewi na madigree si kigezo cha kuongoza nchi wewe unaweza ukawa umesoma lakini akili ya kufikiraia huna ati unajiita Zawadi zawadi M...ku.....ndu
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Hoja za kipunguani kama hii sichangii. Kwani hao wasomi wamefanya nini cha maana.
  Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
   
 20. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nchi yetu....WATANZANIA WOTEW WAPENDA AMANI NA MAENDELEO SI WALE WAPENDA VURUGU NA VITA.
   
Loading...