Live kutoka NMC-ARUSHA

Saafi sana, vibaka walikuwa kero mikutano inapofanyika hapo.

CDM itabidi sasa wakafanyie mikutano yao pembezoni mwa mji .... au hata maporini.

Mjini waachwe walio wastaarabu.
 
acha ukilaza wewe selikali. inatimiza wajibu kwa wananchi haishindani na chama chochote , tukurudushe shule ukasome civics
 
Haya kuku wa ccm watachoka kuzuia upepo jangwani. Ni lazima uvume tu. Eeeh, wakishaweka senyenge?
 
maamuzi ya kisiasa natoa hoja ,kwakuwa wananchi wengi hawana imani na meya aliyepo kwanini asikae pembeni tutafute sio mtu kitu tofauti kitakacho shika hiyo nafasi na kiwe n a mvuto wa kiutalii pia ,ili kutoa misuguano uliopo sasa .
 
Nadhani serikali ina njama ya kuihujumu CCM. Kwa nini kila mara inafanya mambo ambayo yanazidi kuipandisha chati Chadema?
 
viwanja ni vingi sana arusha...kujenga eneo la nmc hbakutazuia kitu...hata kwa mrombo sokoni tutaenda!

wangefanyia mkutano pale uwanja wa kimandolu tindigani kwani napo ni pakubwa sana kuliko wa nmc. M4c ni dini ar
 
maswali;
1/uwanja wa nmc unamilikiwa na nani?

2/je uwanja huo sio open space?

3/kinachoendelea hapo ni ujenzi wa nini hasa?

4/je kinachoendelea sasa kiliandaliwa kabla au ni mpango wa dharura?

chinga maket
 
nimepita jana palikuwa wazi....leo uzio umeshawekwa.....walifanya hiyo kazi saa ngapi?.....wacha niweke picha mshuhudie wenyewe.....

Preta hawa CCM wanapaswa kujua Arusha CHADEMA ni ZAIDI YA CHAMA ni dini ya ARUSHA..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom