Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

wengi walikuwa wanashindwa kuhudhuria mikutano ya CDM pale kwakukosa nafasi za kusimama, ni bora ufungwe tutafute uwanja mkubwa zaidi, hata mkutano ukifanyikia Kisongo au Ussa au hata Bomalang'ombe watu tutajazana kiharakati zaid.
 
Uwanja wa reli haufai kwa mikutano ya CHADEMA, jinsi polisi wanavyotufatafata, na pale kuna ukuta na hakuna uwazi wa kutosha si watatukamata kama kuku!
 
Hebu toa ushauri wako wa ukombozi baada ya mpango wa ssmu kufanikiwa kuzima mikutano ya kukusanyika mfano halisi NMC Arusha huku tukiwa na mashaka kama taratibu za kuubadili zimefatwa na tenda za ujenzi wa kinachotarajiwa kujenga.

Pia vyombo vya habari kama TBC sisimu ukifanikiwa kuteka na vya binafsi. Mie niwapongeze kwa kufungua matawi kuelimisha umma kwa stategy ya M4C, Mikutano na vyombo vya usafiri kama vile magari, helkopta ili kutwanga kotekote.

Je, katika hili la vyombo vya habari na viwanja unaushauri gani kwa ukuaji wa demokrasia na ukombozi wa Taifa kwa makamanda akili ndogo isitawale akili kubwa tukaendelea kuwa NCHI Tajiri watu wake NDIO Maskini huku wachache wakifaidika na Utajiri wa nchi na wawekezaji
.
 
Karibuni na fikra za kujenga Chama cha Ukombozi wEtu kama Nyerere alivyokikubali Hebu toa ushauri wako wa ukombozi baada ya mpango wa ssmu kufanikiwa kuzima mikutano ya kukusanyika mfano halisi NMC Arusha huku tukiwa na mashaka kama taratibu za kuubadili zimefatwa na tenda za ujenzi wa kinachotarajiwa kujenga.

Pia vyombo vya habari kama TBC sisimu ukifanikiwa kuteka na vya binafsi. Mie niwapongeze kwa kufungua matawi kuelimisha umma kwa stategy ya M4C, Mikutano na vyombo vya usafiri kama vile magari, helkopta ili kutwanga kotekote.

Je, katika hili la vyombo vya habari na viwanja unaushauri gani kwa ukuaji wa demokrasia na ukombozi wa Taifa kwa makamanda akili ndogo isitawale akili kubwa tukaendelea kuwa NCHI Tajiri watu wake NDIO Maskini huku wachache wakifaidika na Utajiri wa nchi na wawekezaji
.
 
Mkereketwa mmoja anaweza kufungua kesi mahakani kuzuia ujenzi kwenye hiki kiwanja cha wazi. Sababu kubwa ni usalama. Kama moto au janga lingine kubwa litatokea maeneo ya NMC hakuna sehemu ya wazi watu kukusanyika. It is inconceivable kwa kiongozi yoyote kuhatarisha usalama wa wakazi wa mahali fulani kwa sababu za kisiasa. Hiki ndicho anachofanya Meya wa Arusha akishirikiana na serikali ya mkoa (RC).
 
Hawawezi kufunga mioyo yetu.
Mwanga wa tochi hauwezi kuunguza nyumba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siyo lazima huko mkutano unaweza kufanyika soweto au Uwanja wa sekondari ya mringa ni mkubwa sana.
 
CCM kwa kupitia dola wamejipanga kweli kweli! Kazi kwa madiwani wa CDM kuibana halmashauri ya jiji kutoa sababu za msingi lakini pia CDM watafute mbinu mpya za kueneza elimu kwa wananchi bila kutegemea sana mikutano ya hadhara ambayo ni DHAHIRI kuna maelekezo ya kudhibiti kwa kutumia kila mbinu.
Nafikiri wafunge na roho za watu kwani hakuna mtu mwenye akili timamu kwa wakati huu utakayemweleza habari za magamba akakuelewa yanakataliwa kila sehemu wamuulize mzee wa kupindapinda yaliyompata Viwanja vya Sahara Mwanza.
 
.......this is surelly interesting. Hapa bado wana wasaidia CDM, maana sasa watakuwa na hoja kuwa kama c mikutano yao hata huo uwanja wa NMC usingepatikana.
Uwepo wa mkutano wa CDM ni kasehemu tu ka kueneza elimu na fikra za mabadiliko lakini kitovu cha mabadiliko ni mendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ambayo hata wakati mwingine si lazima kuwe na mikutano. Mikutano husaidia kutoa ufafanuzi wa mijadala ya yale ambayo tayari kwanjia mbalimbali za mawasiliano zilizopo katika mifumo ya maisha yamehabarishwa.
Pengine ndo wanasidia kuwapa nafasi wasio na mshawasha wa kisiasa kutaka kudadisi nini kiini cha uwanja kufungwa.......tujadili
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Tutaenda pale Railway ambako Mwakasege.anafanyiaga mikutano yake..
 
Acheni kujipandisha chati bana, kwani ni lazima mfanyie mkutano hapo, nende nje ya mji kwenye nafasi kubwa zaidi. Kama kweli nia ya kukusanyika ipo basi sehemu haitakuwa tatizo. Muhimu msifanye fujo zenu tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom