Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,167
Kikwete fisadi, Mkapa fisadi, Lowassa fisadi, Mwinyi fisadi, Mkullo fisadi, Wabunge wao wote mafisadi wako tayari kuchukua rushwa ili wapitishe makadirio ya bajeti za Wizara mbali mbali. Wale waliokutwa na mapesa chungu nzima kule Switzerland majina yao mpaka leo yanafichwa.
Kujidanganya nafsi kubaya sana BAK...wanaficha maradhi wanasumbiri kuumbuliwa na vifo tu...siku zinakuja.