usijali wataalamu wanakuja, ila kwa kuanzia tu, inawezekana sana (kwa maelezo yako) utaratibu haujafuatwa, ila tazama human resource manual yenu, au kanuni za maadili ya kazi na adhabu zake, je ulimtolea mbovu wapi nayo ina nafasi yake, mbele za wafanyakazi wengine au.. ila usiwe na shaka...