Sheikh Ponda na Hukumu Yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda na Hukumu Yake

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bubu Msemaovyo, Apr 18, 2013.

 1. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2013
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Kisutu, tafadhali tujuzeni kuhusu hukumu yake ambayo ni leo.

  NB: Namtakia kifungo chema
   
 2. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,775
  Likes Received: 6,663
  Trophy Points: 280

  A m e n !
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2013
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,060
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Ashugulikiwe mapema, kabla hajafikia level ya Boko Haram, Alshabab na makundi mengineyo mengi ya Kiislam yanaifanya Dunia isiwe na amani alafu wanajifanya wanapigania haki fulani, I dont think kwamba wanamuabudu Mungu huyu tunayemuabudu nahisi wanamuabudu shetani maana tunaamini apendaye damu kumwagika ni Shetani
   
 4. B

  Babu Kijana JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2013
  Joined: Jan 24, 2013
  Messages: 476
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  [h=3]HUKUMU YA PONDA YAINGIA DOSARI[/h]

  [​IMG]

  Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Sheikhe Ponda Issa Ponda akihutubia baadhi ya wafuasi wake.
  HUKUMU ya Kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya maandamano haramu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mei mwaka huu.


  Kesi hiyo imeharishwa baada ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Victoria Nongwa ,kutokuwepo Mahakamani hapo.


  Awali hakimu huyo alitarajiwa kuketi katika kiti cha enzi na kutoa hukumu ya kesi hiyo Na.245/2012 inayomkabili Ponda na wenzake.


  Aprili 3 mwaka huu:Mawakili wa upande wa Jamhuri ,Tumaini Kweka na Jessy Peter na mawakili wa utetezi Juma Nassor na Njama waliwasilisha majumuisho yao mahakamani hapo kwa njia ya maandishi ambapo mawakili wa upande wa jamhuri waliiomba mahakama iwaone washitakiwa wote wana hatia na wapewe adhabu kwa mujibu wa sheria.

  Wakati mawakili wa utetezi waliiomba mahakama iwaone washitakiwa hawana hatia na iwaachilie huru kwa sababu hawakutenda makosa yanayowakabili na kwamba upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha kesi yao.Chanzo habarimpya.com - Tanzania
  My Take: Huu ni uonevu tu hii hukumu inataka kupikwa, hii inadhihirisha hana hatia sasa wanaanza dana dana tu ili aendelee kukaa mahabusu.
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2013
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kwanini unamuombea dua hiyo? nini alikukwaza?
   
 6. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2013
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi yale maandamano yote ya cdm yalikuwa na kibali cha polisi?
   
 7. z

  zinj JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 776
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  Tukubali tukatae ukweli utabaki kuwa ukweli, MALI ZA WAISLAMU ZINAHUJUMIWA.

  Leo hii kama Mwl. Nyerere na Tewa Said Tewa wangekuwa hai nafikiri wangesikitika sana, na wao ndio wangekuwa mashahidi wa kwanza kwenye hii kesi, kiwanja hiki cha chang'ombe ni wao ndio walio kitoa kwa waislamu ili kijengwe Chuo cha waislamu.

  Cha ajabu Leo hii viongozi wa bakwata wana amua kukata vipande vipande na kuuza, na pesa hazijulikani zilipo, sijui kwa manufaa ya nani?.

  VIONGOZI WA DINI TUMUOGOPE MWENYEZI MUNGU NA TUJIEPUSHE NA TAMAA hebu tizameni watu wanahukumiwa bure, kisa ni TAMAA ZENU ziwaponza waumini wenu.

  ANGALIZO
  Hapa tusiilaumu Mahakama, wanaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa BAKWATA (kwa sababu ya kutokuwa na uadilifu) na SERIKALI (kwa sababu BAKWATA ni trusteeship haina mamlaka ya kumega,kugawa nk. mali yeyote iliyo chini ya udhamini wake-Rejea taarifa ya tume iliyo iunda kuchunguza mgogoro huu).

  Ole wenu mnaojifanya viongozi wa dini kwa maslahi yenu!!!!!.
   
 8. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,234
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
  Sasa kw mujibu wa maelezo yako wanaohujumu mali ya waislamu ni kina nani? kesi iliyopo mahakamani ni ya nani dhidi ya nani? je! unadhani mahakama itakuwa inapendelea! kama ndio; itakuwa inapendelea upande gani? kwa nini na wewe umejua je?
  Mimi nadhani tusubiri kupokea maamuzi ya mahakama kwa kuwa ndio imesikiliza hoja za pande zote.
   
 9. k

  kibebii Member

  #9
  Apr 18, 2013
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wewe huwezi pia kuwa MKRISTO sahihi, haujaponywa kwa damu ya yesu
   
 10. Sultan Kipingo

  Sultan Kipingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 202
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  Hizo unaleta siasa, Mkuu hapo juu kaeleza wazi kabisa. Au ww hujui Bakwata ni nani, wanalipwa na nani na wanafuata maagizo ya nani?
  Tafuta majibu ya haya ndo utajua shida ya waislam iko wapi.
  Japo imepgwa marufuku ila tafuta cd 'bakwata ni tawi la kanisa' unaweza itazama hata kwenye you tube.
  Itakupa mwongozo.
   
 11. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,067
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  amesha achiwa kuhuru, hakua na kesi ya kujibu, hakimu ameamuru alipwe fidia na kurudishiwa kiwanja chake cha chongombe.
   
 12. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,380
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  Mtu huyu anastahili kuwa jela kwa miaka mingi kwa kuhamasisha vurugu za kidini. Kuahirishwa hukumu inatia shaka kwa haki kutendeka ikizingatiwa rekodi mbaya ya mahakama zetu.
   
 13. z

  zinj JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 776
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  SAMAHANI nimefanya marekebisho rejea kusoma tena maandiko niliyo wasilisha.
   
 14. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,234
  Likes Received: 1,773
  Trophy Points: 280
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Apr 18, 2013
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wakiristu aka Wagalatia ndio waliomwaga damu ya mungu wao na ushahidi wanao, wanainywa na mkate !

  Mungu wa Waislaam (SWT) ni huyu:

  "Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipokuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye Salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake. Mwenye Nguvu, anaye fanya analolitaka, Mkubwa, na ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo. Qur'an: 59:23.
   
 16. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,003
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  udini=vita
   
 17. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,574
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  duh!ikiwa hivyo ni kweli,nitaanza kuamini kuwa hihi nchi haina udini
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,811
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280

  Apumzishwe kwa miaka mitano sehemu salama gerezani ili asiendelee kuchochea vurugu
   
 19. L

  Lowarukerikeri Member

  #19
  Apr 18, 2013
  Joined: Mar 2, 2013
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alieanzisha uzi ametaka kupata maendeleo ya hukumu, wengine mnalumbana vitu visivyohusiana na uzi wenyewe. Kwani nini msisubiri tupate updates kutoka Mahakamani?

  Duh,

  Olowarukerikeri
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2013
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,060
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Mungu wa 1.boko haram, 2.Alshabab, 3.Alqaeda 4.Hamas 5.Janjaweed 6.al-Gama'a al-Islamiyya.....................101.Hezbollah Kuna makundi ya kigaidi ya Kiislam duniani zaidi ya miamoja yote yanaua watu watoto, wanawake na wazee wasio na hatia na kwenda kupongezana kwenye Ibada kwa kutumia misahafu ya Kiislam of which wewe na Ponda mnaitumia.
   
Loading...