Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoboasiri, Mar 28, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Elimu yake ni ya kiwango cha Diploma, would you believe it??? Kuna haja ya kutafuta sababu ya uozo uliopo serikalini?
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  mhh...atakuwa mchawi tuu,mpaka sasa anadunda na dip yake???
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kuwa na diploma pekee haitoshi wewe kuitangazia JF kuwa kuna uozo serikalini, lete uozo mwgine ama uozo ulioambatana na diploma hiyo
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  Siri iiiiiimefichukaaaaaaaaa!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ana diploma ya enzi za mwalimu na with over 10 years experience sioni tatizo.
  Bse kwa wahasibu what matters ni practise.
  Ata hazina kuna watu wamekalia vyeo pale wana diploma tuu plus 20 years experience
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hii kali............
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tuhakikishie mkuu
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tz ni zaidi ya mwiijuavyo
   
 9. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Si Tatizo kama mhusika ana experience ya kazi mda mrefu! Pia hapo kazini navyojua mimi ameshakula on-job training nyingi sana ambazo zinamfanya awe vizuri kuendana na mahitaji ya kazi husika! Pia niwaulize, hivi kunamtu anaweza kusema ya kwamba alivyosomea Masters ndicho anachofanyia kazi?
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  uko wapi sasa hapo?
   
 11. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Serikalini mahesabu yake (government accounting) hayana complication hata ukiwa na cheti cha uhasibu achilia mbali diploma unaweza kuwa Mhasibu Mkuu ili mradi uwe na uzoefu wa muda mrefu kwenye government accounting na uwezo wa kiutawalana usimamizi. Kuwa na Diploma na Cheo kikubwa cha jinsi hiyo si ajabu serikalini.
   
 12. c

  collezione JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, WaTanzania ndo maana tunaliwa na kudhulumiwa kila kukicha. Yani hapa watu mnatetea elimu ya diploma kisa eti experience.

  Hivi mambo mangapi tunasikia yameoza serikalini? Mtu amesoma enzi za nyerere, tena ka_diploma... Wakati duniani siku hzi accountants are professionals,..not only skills but also with new technologies.

  Watu siku hizi wanaiba kwa technology na kujua vifungu flan flan kwenye accounts. Nina wasiwasi hata mhasibu wa Tanesco nae ana_experience ya 20, with kidiploma. (Ndo maana huwa wanalia hela hazionekani kwenye shirika, na wanapata tu hasara kila siku) Hahaha

  Mbali na kuwa na experience, ukiwa na elimu ndogo, una_lacky confidence... Sishangai kuona hela zinachotwa meremeta, epa. Kama tuna wahasibu kama hawa.
   
 13. c

  collezione JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tobaaaa...Duh mimi nilikua sijui hay.

  Basi Ndo maana tunaibiwa sanaaa. Kumbe accounts za serikali mambo rahisi rahisi..
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280

  There is no way you can compare National Accounting Diploma (NAD) with recently university graduates in accounting. It is just the system which lead he/she to be diploma holder but he went same years of training but the best is he did closed examination to acquire that qualification
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,554
  Trophy Points: 280
  Nimefanya kazi na kufundishwa na hao NAD holder wanatisha mbaya! CPA and ACCA holder wanachukua experience kwao! Hakuna NAD kilaza ndugu yangu.
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Yupo kulinda masirahi ya wakubwa usifuatilie fatilie utafukuzwa kazi
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,554
  Trophy Points: 280
  leteni tujadili utendaji wake na si Diploma yake! Zile NAD zilijenga wahasibu bora sana kuliko sisi wa zama hizi! Mtu bila kuona cheti kimeandikwa neno Degree anahakumu kabisa na utendaji!
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Afadhali ya hiyo diploma kuliko hawa vijana wa siku hizi wanaojifanya wana CPA wakati utendaji wao ni mbovu utafikiri hawakwenda shule kabisa......................!

   
 19. k

  kibebii Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Vijana bwana! ndio maana umri wa kuwa rais uko juu! unafkiri elimu peke yake inatosha hahahha
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Haaaa.... Kweli humuu ni jamvi la vingwenduuu!!!!

  Hivi diploma iwe na thaman hivyo hadi mutafute jinsi ya kumtetea??????


  Hana elimu huyooooooooooooo..... Fukuza kaziiii
   
Loading...