Introducing Google Nexus 7, Tablet ya BEI NAFUU DUNIANI

Introducing Google Nexus 7, Tablet ya BEI NAFUU DUNIANI

Kwa mazingira ya bongo bila SIM hizo ndude ni buure,usilinganishe na wakati huo juu ya laptop kutokuwa na SIM kunatokana na mazingara ya wakati huo,enzi hizo kulikuwa hakuna mambo ya modem,lakini siku hizi pamoja na laptop kutokuwa na option ya SIM lakini ina option ya kutumia modem,sasa tablet bila kuwa na SIM utatumiaje chukulia niko njiani nasafiri au niko vijijini,nafaikiri hao jamaa wamelenga soko la Majuu ambako huenda Wi-Fi connection ipo kila mahala

mkuu soma post yangu ya mwisho,
nimesema in six weeks kutakua na Nexus 7 ambayo ina 3G so ina maanisha kutakua na sehemu ya kuchomeka SIM-CARD bado nahapo unalalamika?
 
ila pia tusikremu kwamba hizi tablet ni kwa ajili yetu tu kama unahela ni bora pia ukamnunulia mwanao. Mtoto mwenye mwaka 1 hadi miaka 4 ambae hajaanza shule kua na kitu cha touch screen kama hicho ni very helpfull atajifunza vyote kabla ya shule.

Kuna maelfu ya application kwa ajili ya kazi hio tu
 
jamani naomba kufundishwa hapa android ni nini na inasaidia kitu gani?

Android ni operating system.

Mfano mzuri angalia computer yako unakuta computer inaitwa dell au hp lakini unapoiwasha inaandika window. Ile window ndio operating system.

Same hapa kwenye tablet hii ni google nexus lakini inatumia operating system ya android.

Kazi hasa za operating system kama hio android au window au operating system yoyote ni kumanage hardware kama nexus tablet ili kufanya mambo mbalimbali katika mda tofauti tofauti. Mfano operating system huwezesha hardware kurun application
 
im not buying it hata iweje, its cheap ila haina chochote, haina usb port, haina simcard port, kibongo bongo wi-fi iko chuoni kwetu tu nikitoka eneo jirani na chuo inabidi wi-fi nilipie tena haiko reliable. umbo lake dogo si bora ninunue li simu kuubwa, yani ingekuwa sio tablet ila ni simu ningeikubali kwa size yake
 
kwa vigezo vyako nakubaliana na wewe,
 
Android ni operating system.

Mfano mzuri angalia computer yako unakuta computer inaitwa dell au hp lakini unapoiwasha inaandika window. Ile window ndio operating system.

Same hapa kwenye tablet hii ni google nexus lakini inatumia operating system ya android.

Kazi hasa za operating system kama hio android au window au operating system yoyote ni kumanage hardware kama nexus tablet ili kufanya mambo mbalimbali katika mda tofauti tofauti. Mfano operating system huwezesha hardware kurun application

Thank you very much, nimekupata
 
Back
Top Bottom