Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Naipongeza sana Taasisi hii ya The Islamic Foundation kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya hapa nchini kwetu Tanzania.

Pia naupongeza sana uongozi wa Manispaa ya Morogoro chini ya Meya wake Mhe Nondo na Mkurugenzi Bw Jorvis kwa kutambua mchango wake hadi kuitunuku Taasisi hii Cheti cha shukrani "Certificate of appreciation" katika kuleta maendeleo ya watu bila kuzingatia dini ama itikadi ya mtu.

Katika kipindi kifupi, The Islamic Foundation imefanikiwa kuchimba visima virefu na vifupi vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 300 katika kata mbalimbali za manispaa ya Morogoro. Kata ya Mji mkuu imebahatika kupata visima viwili (2) na pia inajengewa ofisi ya kata ya kisasa kabisa.

Katika kata ya Kilakala kwa mujibu wa diwani wa kata hiyo Bw Ribon Mkali, The Islamic Foundation imewekeza katika ujenzi wa vyumba vinne (4) madarasa vinavyojengwa kwa matofali ya block yaliyolazwa. katika ujenzi huo wananchi wa kata hiyo walichangia kiasi cha Tsh 200,000/ na Islamic Foundation imechangia zaidi ya Tsh milioni 40.

Katika kata ya Mji mpya, kwa mujibu wa Diwani wa kata hiyo Bw Wenceslaus, Taasisi ya The Islamic Foundation imechangia kiasi cha Tsh milioni moja kwa ajili ya kufanya ukarabati wa mfumo wa maji katika zahanati katani humo.

Samweli Msuya wa kata ya Mbuyuni anaielezea The Islamic Foundation kama Mkombozi wa kweli kwa jamii ya wana Morogoro na Tanzania kwa ujumla. Ameelezea kuwa viongozi wake ni wasikivu, wenye huruma na wenye imani.

Kwa kila kisima kirefu kilichochimbwa wamefunga jenereta kwa ajili ya kuvuta maji (kwa maeneo yasiyo na umeme)na wameweka Tank lenye ujazo wa lita 5,000.

Pia kwa kujali elimu na kuizingatia, The Islamic Foundation wanamiliki shule saba (7) na wameweza kujenga misikiti 700 nchi nzima. Pia wanatoa ufadhili kwa watoto wanaoshindwa kulipia gharama za masomo katika shule za msingi na sekondari na wanategemea kuanzisha bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Zaidi katika kuisaidia serikali kupambana na umasikini wameweza kutoa mitaji kwa wajane na vijana na pia wameanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya councelling kwa vijana waathirika wa madawa ya kulevya.

Kuhusu haki ya kupata habari, wamewezesha kusimama imara kwa Radio Imaan na Tv Imaan.

Tunashukuru: "Mmeahidi, mkatimiza. Na ALLAH ni Shahidi"

Mwenye macho haambiwi Tazama

Kawaambieni na wale wa Zanzabar waache kuchoma makanisa na kuwapiga risasi viongozi wa kikristo, waige mfano wa hiyo taasis ya Islamic Foundation!
 
Shule 7 misikiti 700, wanapongezwa? kama trend itakuwa hivyo siku shule zikiwa 700 manaake misikiti 70,000! nitawapongeza pale itakapokuwa misikiti 700 shule 700
 
KAUMZA,

..kujenga shule 7 na misikiti 700, kwa kweli hapo maji yamezidi unga.

..baadaye watu hao hao wanaanzisha kituo cha redio[redio imaan] na kulalamika kwamba wananyimwa elimu.

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.
 
Hongereni Islamic foundation .... Ushauri ww bure nawapa ... Ingekaa vyema sana Kama mngemiliki shule 700 na misikiti 7 ..... Hii yenu haijatulia
Mtaendelea Kuwa daraja la pili milele

KAUMZA,

..kujenga shule 7 na misikiti 700, kwa kweli hapo maji yamezidi unga.

..baadaye watu hao hao wanaanzisha kituo cha redio[redio imaan] na kulalamika kwamba wananyimwa elimu.
 
Very good start,hata mbuyu ulianza kama mchicha,nashauri yafuatayo:

1.Kuwe na uwiano kati ya misikiti na shule .
2.Radio na TV zitoe elimu ya mafundisho ya Uislamu na habari zingine mchanganyiko zinazohusu maendeleo ya nchi.
3.Sifa za viongozi zikidhi mahitaji yote na sio dini tu.
 
700+7 = 707

7 x 100% = 0.99%
707

Kama umesoma hesabu kidogo ya shule ya msingi darasa la tatu utagundua upuuzi unaosifia
 
Kwingine Big Up!!! Ila kwenye redio iman?!,. Napata tabu sssana kuwapongeza,siwezi kuwasifu kwa kuunda bomu litakalotuteketeza muda si mrefu!! Wabarikiwe Islamic foundation kwa mema wanayoyafanya kwa jamii,ILAANIWE REDIO IMAAN na wote wanaoifadhili Amen.
 
Inaonekana wewe na huyo mlokole na watanzania wengi hamjui hata historia ya uchawi tafakari jambo kabla ya kusema

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.
 
Hawa si ndio wana radio Imaan.Si ndio wanafadhili ugaidi zanzibar? Too weak.

Hili la kufadhili ugaidi mleta mada kalisahau,hilo ndilo linaloipa heshima kubwa kundi hilo,usishangae figure za shule na misikiti alizoweka,ndiyo misingi yetu hiyo,shule kiduchu,madrasa kwa kwenda mbele,kanzu ina viraka,mguuni ana sendeu la ngozi,nyumba ni kama kiota cha tetere (njiwa pori) lakini anamiliki silaha zenye dhamani ya $7000+!! Ndivyo tulivyoumbwa.
 
kafiri kafiri tuu,duu bado mpaka hapo mnaponda duu

sasa nani amepanda, watu wanasifia na kutoa ushauri pale penye upungufu wewe unatia kafiri! ni kama kumsaidia masikini chakula halafu unamuita Mbwa.
 
Wala msikate tamaa!!! Asanteee Islamic Foundation. Hata wakejeli, hata wadharau na kutukana. Tekelezeni mipango yenu sawia. Leteni maendeleo. watoto wao watasoma na wa kwetu pia watasoma katika hizo shule mnazojenga. Watoto wao watakunywa maji na wa kwetu watakunywa maji hayo hayo yanayotoka katika visima mlivyovichimba. "Mwenye macho, haambiwi tazama"

Mliahidi, mnatimiza. Na ALLAH ni shahidi
 
TV Imaan na Radio Imaan vimefungiwa. lengo hasa ni kuwaziba midoma waislam na raia kwa ujumla.
 
Well done Islamic Foundation! Nilisikia pia wanampango wa kujenga chuo kikuu kanda ya ziwa sijui mchakato umefikia wapi. Inshallah ALLAH awafanyie wepesi, tumechoka waislamu kutukanwa kuwa hatupendi elimu kumbe ni kutokana na ujinga wa wapuuzi wachache wanaojiita BAKWATA wanafisadi tu mali za waislamu wakituacha hatuna mbele wala nyuma.

Acheni upuuzi wa BAKWATA BAKWATA, kila mnakofeli ni BAKWATA. Kwani, hawa Waarabu wanaowajengea misikiti kwenye vituo vyao vya mafuta, wamezuiliwa na BAKWATA kuwajengea hata shule za chekechea?

Kushindwa kwa Waislam ni utamaduni na sio BAKWATA. Ukiona shule ya Kanisa imejengwa, basi ujue ni juhudi za waumini wa Kanisa hili hilo unaloliona pembeni ya shule na sio Baraza la Maaskofu.

Shida ya mtu failure ni kwamba haishi kutafuta wa kumlaumu. Hamna kukazana, nyie ni manung'uniko tu. Mimi sioni, (kwa mfano) Msikiti wa Mtoro unashindwa nini kujijengea Shule ya Sekondari badala ya kulaumu BAKWATA.

Hivi, BAO na MADRAFTI mnayocheza nje ya misikiti, mnanunuliwa na BAKWATA au kila msikiti unanunua ya kwake?
 
Wala msikate tamaa!!! Asanteee Islamic Foundation. Hata wakejeli, hata wadharau na kutukana. Tekelezeni mipango yenu sawia. Leteni maendeleo. watoto wao watasoma na wa kwetu pia watasoma katika hizo shule mnazojenga. Watoto wao watakunywa maji na wa kwetu watakunywa maji hayo hayo yanayotoka katika visima mlivyovichimba. "Mwenye macho, haambiwi tazama"

Mliahidi, mnatimiza. Na ALLAH ni shahidi

This is your spirit! Mnashangaza sana.

Hebu angalia hizo bold. Yaani WAJENGE na KULETA MAENDELEO, wewe je, mchango wako nini?

Usikute hawa ni Waarabu, tena foreigners. Hapa unachoweza ni kuwasujudia na sio kushiriki. Hakuna anayekejeli, ila juhudi iongezeke katika mazuri. Unaposema MIPANGO YENU, ina maana wewe haikuhusu na ndivyo mlivyo. Amin amin amin nakwambia, hizo pump kwenye visima zikiharibika, hamtatengeneza, mtakaa msubiri aje mwarabu mwingine kuzitengeneza, nyie ni kucheza bao tu.

Na nikukumbushe kuwa hao wanajenga madarasa tu. Utashi wa kupeleka mtoto shule na kufuatilia maendeleo yake ni wa mtu binafsi. Nisikieni aibu kwamba Islamic Foundation ijenge shule halafu Waislam wenyewe wawe wanaenda darasa la kwanza, wakifika la 5 hawaonekani
 
Shule 7 misikiti 700,hongereni sana japo 700 zingekua shule..
 
Back
Top Bottom