Recent content by Kibao

  1. Kibao

    JamiiForums Tanzania SIMBA FT 3-1

    ??????????????????????????
  2. Kibao

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

    Wadinka sio wabantu. Ni wanilotes. Soma Zaidi hapa https://en.wikipedia.org/wiki/Nilotic_peoples
  3. Kibao

    JamiiForums Tanzania Fly over kujengwa Mloganzila

    Hata mimi nimeshangaa. Labda kwasababu sio mtaalam wa mambo hayo
  4. Kibao

    JamiiForums Tanzania TTCL Customer Care kwanini hampokei simu za wateja?

    Mimi kuna siku nilipiga wakapokea nakawaeleza tatizo la router ya internet ambayo nilikuwa nalipa na huduma sipati wakaniambia watanipigia. Nikasubiri hawakunipigia nikapiga kama mara saba hawakupokea. Nikaacha na sasa hivi nimeendela kutumia makampuni mengine kwenye mtandao. Kwakweli...
  5. Kibao

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    kwani hakuna makampuni yaliyosajiliwa yakitapeli?
  6. Kibao

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kwahiyo kila kitu kinachoandikwa au kutangazwa kwenye gazeti watu waamini tu???
  7. Kibao

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    Pole Mheshimiwa! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kibao

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa wa ZANU-PF atangazwa kushinda Urais, Chama cha upinzani cha MDC chayakataa matokeo

    Haya wenye muda wasome updates hapaZimbabwe rivals upbeat amid tight vote
  9. Kibao

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa wa ZANU-PF atangazwa kushinda Urais, Chama cha upinzani cha MDC chayakataa matokeo

    Ni busara kusubiri kwanza mpaka Tume itoe matokeo. Maana hapa Africa mambo huwa hayaeleweki mpaka Tume itangaze matokeo.
  10. Kibao

    JamiiForums Tanzania Badala ya kumwambia moja kwa moja muuza duka NIPE COND*M,nimwambie anipe nini?

    Samahani, yaani kweli wewe umeona hili ndio suala la kuleta hapa ili watu wajadili????
  11. Kibao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimuamini sana mtoto wa kike, kwenye mahusiano kuwa na kiasi

    Samahani kidogo. Mimi nimegundua kuwa wanawake huwa wanatumia sana akili katika mapenzi kuliko sisi wanaume. Unaweza ukamdharau mwanamke kumbe anakusoma kimapenzi. Na akisha kuelewa akafanya lolote kama kuongeza spidi katika mapenzi. Tatizo letu wanaume tukisha kolea kwenye penzi akili ya...
  12. Kibao

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Hata chereko wamepata upinzani kutoka DSTV. Ile ya DSTV ni wabunifu sana
  13. Kibao

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Yaani nilikuwa naangalia live ndege imetua badala ya kuonyesha taxiing i.ie ndege kutembea kuja eneo la kusimama wao wanonyesha muziki wa bendi. Labda hii inatokana na upungufu wa kamera. Mheshimiwa Rais anongea ndani ya ndege wao wanakata transmission. Halafu mara nyingi tu wanaonyesa vichwa...
Back
Top Bottom