Uchaguzi Mkuu Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa wa ZANU-PF atangazwa kushinda Urais, Chama cha upinzani cha MDC chayakataa matokeo

mwenzio akinyolewa na wewe tia maji kichwa. Kwa hali ya kiuchumi ninayo iona vijijini na ccm wajiandae kisaikolojia wao wako busy na kununua wapinzani ama kuwahonga nafasi za uteuzi. lakini raia wako choka mbaya. tusubiri na sisi 2020 tukawapumzishe lumumba
 
Inaonekana bado R. Mugabe bado ana ushawishi miongoni mwa Wazimbabwe wengi maana kusema hatakiunga mkono chama chake na kukiunga mkono chama pinzani imekuwa pigo kubwa sana kama matokeo yanaonyesha kweli upinzani unaongoza
Ishu sio kuunga mkono,hakukuwa na demokrasia
 
Zimbabwe has removed one Mugabe to instal another Mugabe. Vijana sio watu wa kuwapa madaraka ya juu coz baada ya terms zao kuisha hung'ang'ania madarakani kama Kabila na Nkurunziza
Katoliki wamejifunza. Baada ya papa John II kukaa madarakani kwa miaka 27, siku hizi wanachagua wazee. Watu wa 'kufa kesho'.
 
baada ya takribani miaka 40 ya utawala za Zanu pf hatimaye inaondoka kwa amani kabisa huku jeshi likikaa mbali na uchaguzi uliofanyika jana
Africa kwa mtazamo wa ndani kabisa Zanu pf,Ccm ya Tanzania na Bdp ya botswana ndio vyama vizee kabisa vilivyo madarakani kwa sasa
kwa mtazamo huu kama Zanu pf inag,oka basi bdp ijiandae na ccm wajiandae,hakika hakuna jambo la kudumu duniani.
kila la heri Zimbabwe mmetembea safari ndefu sana hakika
God is good always.... Wakati si milele
 
mwenzio akinyolewa na wewe tia maji kichwa. Kwa hali ya kiuchumi ninayo iona vijijini na ccm wajiandae kisaikolojia wao wako busy na kununua wapinzani ama kuwahonga nafasi za uteuzi. lakini raia wako choka mbaya. tusubiri na sisi 2020 tukawapumzishe lumumba
Ccm wanarudia kosa walilofanya KANU la kununua watu badala ya kushugulika na kero za wananchi. Hii mbinu hatowasaidia wananchi ndo mabosi,sio viongozi waunga mkono.
 
Ni busara kusubiri kwanza mpaka Tume itoe matokeo. Maana hapa Africa mambo huwa hayaeleweki mpaka Tume itangaze matokeo.
 
Write your reply...ni ngumu kuvingoa CCM,ZANUPF,ANC, mnangagwa atashinda hasubui na mapema
 
Nimemkumbuka morgan tsvangirai (RIP). Ali-deserve aje kuwa Rais wa Zimbabwe but....

maxresdefault.jpg
 
Ccm wanarudia kosa walilofanya KANU la kununua watu badala ya kushugulika na kero za wananchi. Hii mbinu hatowasaidia wananchi ndo mabosi,sio viongozi waunga mkono.
100%
Hivi kuna maendeleo gani ukilinganisha na siku za nyuma ambapo mtu unaweza kushawishika kuwa yapo? Mtu aje na issue kama National Index kwamba iko vile kulinganisha na siku za nyuma.
 
Back
Top Bottom