Badala ya kumwambia moja kwa moja muuza duka NIPE COND*M,nimwambie anipe nini?

GREAT NAME

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
932
1,249
Salam wakuu, kesho nina mpango wa kununua cond*m sasa nafikilia nitamwambiaje muuzaji kwa kutumia lugha rahisi badala ya kumwambia direct nahitaji cond%m,
 
Samahani, yaani kweli wewe umeona hili ndio suala la kuleta hapa ili watu wajadili????
 
Mwambie ruffy rider zipo achana na izo za MSD packet 500 chukua Rider 3000 packet au Durex ni kama nyama nyama kanunulie Pharmacy
ila haya mambo ya kujifanya mtu wa BRAND kuna siku yalinitokea puani.

kuna siku nilikua nimeenda kununua ruffy rider ila sasa katika kupiga jicho nikaona zingine zinaitwa BAREBACK nikamwambia mchizi wa pharmacy naomba hizo bareback

jamaa akanipa alafu akanambia ww nakufahamu so sitataka ukienda sehemu nyingine wakufikirie vibaya nikamuuliza kwann.. akasema hizi bareback huwa wanatamia Gays daaaah nilichoka

nikamuuliza kwahiyo hapa ningeenda pharmacy nyingine kununua direct wangejua mimi ni mende au chakura akasema ndiooo ndomana nimekwambia ili usije ukaaibika siku nyingine

palepale nikamwambia sizitaki hizi nipe ruffy rider zangu mimi..

NOTE.. sio official kwa gays sema ndio huwa wanatumia sana hizo bareback yaani ni kama KY ilivyo ni lub ambayo inaweza kutumika ukeni lakni imezoeleka inatumika kwa wale wazee wa anal so ukinunua tu wanajua ndio michezo yako
 
Last edited:

Hahaha pole mkuu io brand haifai kabisa
tapatalk_1532590644265.jpeg
 
Back
Top Bottom