of what use ukiona inatua?Kwann msijipange mapema kweli ss naanza kuamini kuwa ninyi ni wahenga kiukwelii ... poleni sana...
Fedha kidogo kwa haiyo shirika haliingizi
Mbona Azam hawana scratches kama ishu ni mvua, alafu TBC si leo tu hii ishu ni so oftenMvua Itakuwa imesumbua. Ujinga ninawashangaa wanazidiwa kwa quality Hadi TV 1 worldcup
Wanazidiwa na online tv za vijana wenye mitaji ya kuungaunga?ShameKwenu UONGOZI wa TBC ,tokea mbadilishwe jina kutoka TVT hadi TBC ni zaidi ya miaka 10 sasa,lakini namna mnavyorusha matangazo yenu hamna tifauti kabisa na TVT,hakuna mlichobadilika hata kidogo.
Matangazo yenu ya LIVE au mubashara yanatia kichefuchefu,kwanza nadhani mnakuwa na kamera moja tu wakati wenzenu wanakuwa na zaidi ya kamera moja zinazokuwa katika angle tofauti tofauti,au kama mnakuwa na kamera nyingi,kuna haja ya kuachana na hao makamera wenu uchwara ambao hawajui namna ya kuchukua matangazo ya LIVE.
Au kama sio hao makameraman wenu,basi huyo mchanganya picha wenu hafai hata kidogo,maana haiwezekani tukio ambalo mtazamaji anahaki ya kuliona karibu ninyi bado mnalionyesha mbali.huo ni uzwazwa .
Lakini pamoja na hayo hao Watangazaji wenu wa matangazo ya LIVE warudi darasni,maana hawajui na hawana ethic za kurusha matangazo ya LIVE,haiwezekani kwenye tukio la LIVE kiongozi,au MC wa shughuli anaongea na yeye naye anaingiza sauti yake.
Hakika ,ndugu Ayoub Rioba kuna haja ya kuliangalia suala hili ili kujenga shirika bora naloendana na ushindani wa ukuaji wa kasi ya matangazo ya moja kwa moja,yaani LIVE.
Ni kweli, kuna vitu vidogo vya ubunifu TBC hawana, wamekalia kulogana tu na kushinda kwa wachawiMudawote,
Nadhani jibu litakalo tegemewa ni fedha kiduchu shirika linapewa.
Inabidi atie ubunifu katika kusimamia TBC,basi hata miradi mbalimbali ili waweza kujiendesha vyema.
Mkurugenzi afukuzwe,Wanazidiwa na online tv za vijana wenye mitaji ya kuungaunga?Shame
Namuonea huruma lakini nadhani ni bora akarudi chuoni kufundisha tu!Unazidiwa vipi na Ayo tv, global tv etc kwenye kurusha live broadcast?Wametumia kiasi gani kuboresha matangazo yao hao wengine ambacho TBC hawana!Sijui ana lugha gani ya kuwaeleza watz. Kama vifaa vipo na tatizo ni warushaji wa matangazo basi awaondoe alete wapya , maana nina hakika wapo vijana wanaweza kuifanya kazi hoyo kwa ubora na gharama nafuu kabisaMkurugenzi afukuzwe,