JamiiForums Tanzania
Udom
ndugu yangu uliyetaka kujua kuhusu college ya medicine ni kwamba kwanza kuhusu walimu ni kwamba wapo wa kutosha na wanaajiriwa kila mwaka. uzuri wa udom ni kwamba kila college inajitegemea kila kitu kama vile hostel, walimu, madarasa nk. pia pale medicine wanapaboresha ile mbaya, kwa sasa kuna...