mliochaguliwa UDOM

Oct 12, 2012
22
4
kwanza nawasalimu woote mliokwisha ripoti chuoni UDOM
vipi mnakionaje chuo chetu hicho?, vipi mazingira yanaridhisha? vipi watoto?
wale wa social sciences, hiyo ndio college maarufu hapo chuoni kwa kila kitu.
matamasha yote na burudani mbalimbali hufanyika hapo
kuna cafeteria maarufu hapo inaitwa break point, kila chakula kinapatikana mpaka makande yetu
all the best in your studies
 
Chuo kipo fresh,kuhusu watoto tupa kule,jana kitu cha Recho pale social ilikua poa,nasubir mzigo wa j3 nione pindi zinavyoenda
 
Back
Top Bottom