Udom

yap mi niko pale nakamua masters. undergraduate nimesoma sua so makamuzi ni yale yale hakuna cha chuo cha kata wala nini. we nenda ukalale uone kama hawatakurudisha kwenu. kwa wale mabinti vimini na suruali ya aina yoyote muache huko huko home. wapo strict sana na mavazi cku hizi na ukileta utani unapigwa sunspension ya miezi mitatu (3). udom ni pazuri sana, hostel za kumwaga tena nzuri na wala hazijaagi. madarasa ya kisasa njia zote ni lami na huduma zote zipo chuoni kuanzia mabenki nk. all the best, mi nipo reseach kwa sasa
 
ndugu yangu uliyetaka kujua kuhusu college ya medicine ni kwamba kwanza kuhusu walimu ni kwamba wapo wa kutosha na wanaajiriwa kila mwaka. uzuri wa udom ni kwamba kila college inajitegemea kila kitu kama vile hostel, walimu, madarasa nk. pia pale medicine wanapaboresha ile mbaya, kwa sasa kuna hospitali ya kisasa inaendelea kujengwa, hii itakuwa kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo na pia vigogo wote watatibiwa hapa na hakuna kupelekwa india. all the best na ukiwa udom utaenjoy
 
Back
Top Bottom