Vyuo vikuu bora afrika

Jan 4, 2012
61
23
Mabibi na Mabwana,

Sina shaka mnazo taarifa kwamba mwaka 2012 katika Orodha ya Ubora wa Vyuo Africa Nchi yetu ina Vyuo viwili tu ambavyo ni The Giant and Prestigous University( University of Dar es Salaam) nafasi ya 11 na Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 49.

Ukweli ni kwamba hizi INSTITUTES zilizopakwa rangi kuwa "universities" hazimo. Hii inadhihirisha kwamba bado kuna kazi ya kuboresha Elimu Tanzania siyo kwa kuongeza tu Idadi bali kiwango cha Ubora wa Elimu itolewayo.

Kiko wapi kiburi chao wale wanaodhani kwamba Institutes zao no bora na kudharau UDSM ambayo kwanza walikosa sifa za kujiunga wakakimbilia huko?
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,664
4,208
muwamba ngozi huvutia kwake....sasa hpa UDSM kuna tofauti gan na vyuo vingine? kuwa wakwanza ku strike for loan may be.....hayuangalii ubora wa elimu kwa kuangalia report tunaangalia product inayotoka chuon...jee ukiweka mtu katoka hizo unaita institute na wa udsm ki utendaji na efficiency si wako sawa???kuwa chuo bora its nothing what we are looking for is what you have in your head.....na kumbuka kukaa karibu na warid si kwamba na wewe utanukia marashi.
 
Jan 4, 2012
61
23
Mbona unapiga Siasa kaka? Toa Vigezo vya Ubora wa hizo Institutes ukilinganisha na UDSM!!! Tatizo lenu ni inferiority complex na hasa kujilinganisha na TEMBO wakati ukweli unashuhudia kwamba wewe ni KASUNGURA. Kwanza angalia vigezo walivyotumia ku-rank Universities na wewe unithibitishie kama hizo Institutes WANAZO!

Ukweli utakuweka huru. Kinachofanyika sasa ni ubatizaji wa majengo na kuyaita Universities. Bora zingeachwa kama institutes maana zilitengeneza technicians wa kutenda kazi wakati huo. The difference between a University and an Institute is the fact that university teaches "why we do things" and institutes "how to do things". Bora zingebaki hivyo kuliko kujidanganya kuziita universities wakati wewe unasema cha muhimu ni product kazini?

Mimi sisemi sio watendaji wazuri bali hawana sifa ya kuambiwa wamemaliza UNIVERSITIES bali INSTITUTES!
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,234
6,687
Mzumbe je? Ni ya ngapi kwa Ubora? Na Muhimbili vipi? Haurbert Kairuki!!!
 
Jan 4, 2012
61
23
Mzumbe je? Ni ya ngapi kwa Ubora? Na Muhimbili vipi? Haurbert Kairuki!!!

Hata kwenye 100 Bora haipo hiyo MZUMBE unayoita UNIVERSITY wakati ni INSTITUTE.Katika 100 bora Afrika ni UDSM na HUBERT KAIRUKI pekee. Upo hapo?
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,528
Hata kwenye 100 Bora haipo hiyo MZUMBE unayoita UNIVERSITY wakati ni INSTITUTE.Katika 100 bora Afrika ni UDSM na HUBERT KAIRUKI pekee. Upo hapo?

itakuwa mkuu unakurupuka kama HKMU na MU ni institute kwanini wanaziita university mpaka hapo inaonesha hujui unachoandika yaani unaandika university halafu hapo hapo unaiita institute aisee kweli elimu bongo ni janga la taifa..
 
Oct 12, 2012
22
4
hiyo udsm hata ingekuwa ya kwanza kidunia, tukiingia mtaani wote tunakuwa sawa tu na kutembea na vyeti mpaka tuchoke. cha msingi hapa tuhangaike na maisha yetu. kungekuwa na kipaumbele katika kupewa ajira kwa waliomaliza udsm hapo ningekubali. siku si nyingi udom mtatusikia kwenye bomba
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,234
6,687
itakuwa mkuu unakurupuka kama HKMU na MU ni institute kwanini wanaziita university mpaka hapo inaonesha hujui unachoandika yaani unaandika university halafu hapo hapo unaiita institute aisee kweli elimu bongo ni janga la taifa..

Ndetichia, nakubaliana na wewe. University then Institute!!! Hakipo kitu hicho labda kwa wale hamnazo.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,234
6,687
Ubora unaoongelewa hapa, ni ubora wa elimu, mitaala, majengo, mazingira ama ni nini?

Pengine inawezekana ikawa ni ubora wa sura za wanafunzi wa kike na kiume.
 
Stephen Shayo

Member
Nov 13, 2012
55
11
we unadhani hao waliotoa hizo takwimu wametoa from nowhere?wamefanya study ,reseach na mambo nyigi zinazohusika na universities tatizo wabongo hamjiamini.hata kama uwezo bado tunaimport watu waje watufanyie vitu vyetu. problem ni kwamba unaangalia side moja tu mambo mabaya waliyoyafanya we mazuri huyaoni?
 
Jan 4, 2012
61
23
itakuwa mkuu unakurupuka kama HKMU na MU ni institute kwanini wanaziita university mpaka hapo inaonesha hujui unachoandika yaani unaandika university halafu hapo hapo unaiita institute aisee kweli elimu bongo ni janga la taifa..

Soma vizuri au una tatizo la kutojua kusoma? HKMU ni miongoni mwa Universities Bora na ya 49 Barani AfriKa. Hata mimi sijaiita HKMU kuwa INSTITUTE! Ila nimeiita MZUMBE institute kwa kuwa ilianzishwa kutengeneza watenda kazi wakati huo. Lakini majuzi sijui kwa kutaka ilingane na UDSM wakakurupuka kuibatiza kuwa UNIVERSITY!

Wewe ndio unaiita HKMU kuwa INSTITUTE! Soma vizuri kijana! Ninachotaka kusema ni kwamba tuna kazi ya kuboresha Vyuo vyetu viwe na ubora unaotambulika Kimataifa. Kama tunasema UNIVERSITY iwe na viwango vya UNIVERSITY vinginevyo tutabaki na majina tu bila sifa.
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,492
Mabibi na Mabwana,

Sina shaka mnazo taarifa kwamba mwaka 2012 katika Orodha ya Ubora wa Vyuo Africa Nchi yetu ina Vyuo viwili tu ambavyo ni The Giant and Prestigous University( University of Dar es Salaam) nafasi ya 11 na Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 49.

Ukweli ni kwamba hizi INSTITUTES zilizopakwa rangi kuwa "universities" hazimo. Hii inadhihirisha kwamba bado kuna kazi ya kuboresha Elimu Tanzania siyo kwa kuongeza tu Idadi bali kiwango cha Ubora wa Elimu itolewayo.

Kiko wapi kiburi chao wale wanaodhani kwamba Institutes zao no bora na kudharau UDSM ambayo kwanza walikosa sifa za kujiunga wakakimbilia huko?
hii kitu kwenye red ndio 'the power of determination' au!???
 
Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
40
Badala ya kuangalia product ya vyuo tunaanza kubshana kpi bora kipi kibaya tuangalie watu waliotoka kwenye vyuo vinavyosemwa ni vkal wanamchango gani kwenye kuiletea nchi maendeleo.
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,402
1,599
muwamba ngozi huvutia kwake....sasa hpa UDSM kuna tofauti gan na vyuo vingine? kuwa wakwanza ku strike for loan may be.....hayuangalii ubora wa elimu kwa kuangalia report tunaangalia product inayotoka chuon...jee ukiweka mtu katoka hizo unaita institute na wa udsm ki utendaji na efficiency si wako sawa???kuwa chuo bora its nothing what we are looking for is what you have in your head.....na kumbuka kukaa karibu na warid si kwamba na wewe utanukia marashi.

unachajaribu kusema ni kwamba dunia nzima jakuna chuo bora? Maana yako ni kwamba hakuna utofaut wa mwanafunz anayesoma udom na anafundshwa na watu wenye degree na anayetoka havard anafundishwa na maprofessor? Unadhan uelewa wa profesa na degree holder ni sawa? Unadhan huyo mwanafunz wa udom anayesoma miaka mitatu bila kwenda field hawana utofaut na aliyekwenda filed?
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,402
1,599
hiyo udsm hata ingekuwa ya kwanza kidunia, tukiingia mtaani wote tunakuwa sawa tu na kutembea na vyeti mpaka tuchoke. cha msingi hapa tuhangaike na maisha yetu. kungekuwa na kipaumbele katika kupewa ajira kwa waliomaliza udsm hapo ningekubali. siku si nyingi udom mtatusikia kwenye bomba

kwann unasema udom tutawasikia kwny bomba? Kwasababu mna majengo mengi au?
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,402
1,599
Ubora unaoongelewa hapa, ni ubora wa elimu, mitaala, majengo, mazingira ama ni nini?

Pengine inawezekana ikawa ni ubora wa sura za wanafunzi wa kike na kiume.

ingekuwa wanachoangalia ni sura basi hata chuo chako kingekuwepo lakini kwa kuwa wanaangalia wanaofundisha, wanachfondisha, machapisho pamoja na utafiti ndio maana chuo chako hakipo.
 
Jan 4, 2012
61
23
kwann unasema udom tutawasikia kwny bomba? Kwasababu mna majengo mengi au?

Ile ya kwanza sikuwapa vigezo lakini pia hata kwa kutumia vigezo vingine bado UDSM iko bora. Matokeo hayana tofauti sana na yale niliyotoa Mwanzoni: Haya sasa kwa vigezo vya ubora wa MBA,ENGINEERING NA MEDICAL bado matokeo kwa Tanzania ni yale yale inabadilika positions kidogo! USIBISHE KAMA USHAHIDI. Ukifanya hivyo basi huna tofauti na asiyeingia Darasani kabisa!!

Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.
[h=3]Welcome to Top 100 Universities in Africa Section. Here you will find Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical.

Top 100 Universities in Africa 2012:-

1. University of Cape Town, South Africa
2. Universiteit Stellenbosch, South Africa
3. Cairo University, Egypt
4. University of Pretoria, South Africa
5. University of the Witwatersrand, South Africa
6. University of KwaZulu-Natal, South Africa
7. University of South Africa, South Africa
8. University of the Western Cape, South Africa
9. Rhodes University, South Africa
10. The American University in Cairo, Egypt
11. University of Nairobi, Kenya
12. Makerere University, Uganda
13. Mansoura University, Egypt
14. Polytechnic of Namibia, Namibia
15. University of Dar es Salaam, Tanzania
16. University of Ghana, Ghana
17. University of Botswana, Botswana
18. University of Johannesburg, South Africa
19. Université de la Reunion, Reunion
20. Ain Shams University, Egypt
21. Université Cadi Ayyad, Morocco
22. University of Khartoum, Sudan
23. Cape Peninsula University of Technology, South Africa
24. Al Akhawayn University, Morocco
25. Université Cheikh Anta Diop, Senegal
26. University of Mauritius, Mauritius
27. Universidade Eduardo Mondlane, Mozambique
28. Helwan University, Egypt
29. Kwame Nkrumah University of Science and Technology, Ghana
30. University of Ibadan, Nigeria
31. Addis Ababa University, Ethiopia
32. University of Benin, Nigeria
33. Assiut University. Egypt
34. University of Namibia, Namibia
35. Mogadishu University, Somalia
36. University of Zimbabwe, Zimbabwe
37. University of Zambia, Zambia
38. University of Lagos, Nigeria
39. Presbyterian University College, Ghana
40. University of Ilorin, Nigeria
41. Nelson Mandela Metropolitan University, South Africa
42. The Hubert Kairuki Memorial University, Tanzania
43. Obafemi Awolowo University, Nigeria
44. North-West University, South Africa
45. Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène, Algeria
46. Ahmadu Bello University, Nigeria
47. Université Mentouri de Constantine, Algeria
48. Strathmore University, Kenya
49. Zagazig University, Egypt
50. Universiteit van die Vrystaat, South Africa
51. The German University in Cairo, Egypt
52. Sudan University of Science and Technology, Sudan
53. Tshwane University of Technology, South Africa
54. Kenyatta University, Kenya
55. Université d'Alger, Algeria
56. Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen, Algeria
57. Al Azhar University, Egypt
58. Tanta University, Egypt
59. University of Jos, Nigeria
60. Université Abdelmalek Essadi, Morocco
61. Université de Batna, Algeria
62. Université Mohammed V - Souissi, Morocco
63. Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem, Algeria
64. Université Djillali Liabes, Algeria
65. Minoufiya University, Egypt
66. Université Hassiba Ben Bouali de Chlef, Algeria
67. Université Sidi Mohamed Ben Abdellah, Morocco
68. MISR University for Science and Technology, Egypt
69. Moi University, Kenya
70. Université Saad Dahlab Blida, Algeria
71. United States International University, Kenya
72. Université d'Oran, Algeria
73. University of Port Harcourt, Nigeria
74. National University of Rwanda, Rwanda
75. South Valley University, Egypt
76. Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes, Algeria
77. Université Mohammed V - Agdal, Morocco
78. University of Fort Hare, South Africa
79. Durban University of Technology, South Africa
80. Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology, Kenya
81. Université de Nouakchott, Mauritania
82. Central University of Technology, South Africa
83. University of Limpopo, South Africa
84. Université Badji Mokhtar de Annaba, Algeria
85. University of Zululand, South Africa
86. Mauritius Institute of Education, Mauritius
87. Jimma University, Ethiopia
88. Université de Ouagadougou, Burkina Faso
89. École Nationale Supérieure en Informatique, Algeria
90. Minia University, Egypt
91. Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou, Algeria
92. Université Amar Telidji Laghouat, Algeria
93. Université Hassan II - Mohammedia, Morocco
94. October 6 University, Egypt
95. Université Hassan 1er, Morocco
96. École du Patrimoine Africain, Benin
97. Université Gaston Berger, Senegal
98. Université des Sciences et de la Technologie d'Oran, Algeria
99. Egerton University, Kenya
100. Université d'Antananarivo, Madagascar

Haya Mzumbe na wale wengine wako wapi tena?
[/h]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom