kibaha lukundo
Member
- Oct 12, 2012
- 22
- 4
hawa jamaa kweli hawataki utani, A yao inaanzia 80, manaoenda pale kusoma mjue pale ni kama seminari maaskofu hawataki utani
Saut si chuo, ni dangulo la malaya tu. **** hadi 150? Hatari kubwa
I like sn SAUT,grade ziko juu lakn pia ht ufundishaji wao ni mzuri na ada ni ya kawaida sn nilisoma pale na nilifaulu vzr,haya mengine sijui ya tabia mbaya ni ya kawaida kwenye mikusanyiko ya watu kwsbb watu wametoka sehemu mbalimbali na kila mtu ana malezi yake,ht hivyo hz dysfunction zina positive contribution ktk jamii,assume kama wote tungekuwa tunabehave on the same manner hali ingekuwaje! sociologically,tunaamini ht hz tabia za ovyo zina mchango mkubwa sn ktk jamii kwani zinaifanya jamii ichangamke. Kama nimekosea wanasosholojia wenzangu watanisaidia.