tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Chuo Kikuu cha Mt.Augustine (SAUT) tawi la Bukoba kimebadilishwa jina kutoka SAUT - Bukoba na kuwa KADRINALI RUGAMBWA UNIVERSITY COLLEGE OF SAUT. Uamuzi huo umefanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) ambao ni wamiliki wa chuo kikuu cha SAUT.