Recent content by Keykey

 1. K

  Rais Magufuli, unateua kwa lengo la kupambana na wapinzani au kuleta maendeleo?

  Huyu VUTA-NKUVUTE si wa Lumumba huyu? ukina hivi ujue wameisoma namba!
 2. K

  Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

  Hili bomba wawekezaji ni TOTAL nao wanaangalia zaidi gharama za uendeshaji na uhakika wa returns kwa investment yao. Ukiangali route ya bomba, kuna masuala ya usalama upande wa South Sudana na Somalia hivyo risk ni kubwa ya hujuma. Na hii ndio sababu kubwa ya ucheleweshaji wa huu mradi pamoja na...
 3. K

  Kanusho La Kujiuzulu Kwa Wabunge Wa CUF

  Wamekanusha!
 4. K

  Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

  waliopigwa chini kina nani hao?
 5. K

  Kubenea: Sikusema Makonda ni Mjinga,mpumbavu,kibaka na cheo chenyewe cha kupewa

  Ushahidi upo wa video, hiyo kesi kama mzaha lakini ngumu.
 6. K

  Wanaume mnaofika kileleni mapema mnakera sana

  Chonde chonde bibie exceptional lady, utavunja ndoa za watu! umeamua kusherehekea 8 March kwa kutumbua majipu akina baba wasio nahatia?
 7. K

  Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

  Mwambie awe makini, akaona choo kwenye ndoto asikitumie kwzni huo utakuwa mtego!
 8. K

  Wa mwisho ndio mshindi

  Ha haa! Hili kitu bado lipo? I see JF kiboko, loh!
 9. K

  Tundu Lissu: Magufuli ni cross breed kati ya Sokoine na Mrema

  Kama alidhani anamponda JPM kwa kumfananisha na Sokoine, huenda akwa amempandisha chati bila kujua.
 10. K

  Tanzania supports plan to send 5,000 troops to troubled Burundi

  Wait a minute! Hiki chanzo cha taarifa hizi labda watuwekee sauti ya Balozi Mahiga tuwe na uhakika, hawa jamaa hana record ya positive reporting on Tanzania
 11. K

  Tanzania supports plan to send 5,000 troops to troubled Burundi

  Sijaona ukigeugeu hapa, msimamo ulikuwa kwamba vikosi visipelekwe bila makubaliano na serikali ya Burundi na hili nadhani bado liko pale pale
 12. K

  DART wameomba SUMATRA nauli ziwe kati ya 1,200 - 1,400

  Jamaa washanza kuviharibu tayari! Vituo hivi vimeinuliwa sana sijui huyu dereva amefikaje huko?
 13. K

  Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

  Mahakama kazi yake kutafsiri sheria na wala haibadili sheria, kama kweli nyumba yake iko ndani ya eneo lisiliruhusiwa hakuna jinsi itapigwa nyundo.
 14. K

  Hii sheria ya NEMC kujenga mabondeni ni kwa Dar es salaam tuu??

  Sheria hii ni sehemu zote, wanaweza wakawa kimya leo kutegemea na watendaji wa eneo hilo lakini kuna siku watafika huko.
 15. K

  Poll:Unaridhika na Utendaji wa Serikali ya Magufuli?!

  Weka hiyo POLL zipigwe kura, kisha mjadala utafuata baada ya matokeo.
Top Bottom