Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,128
Nimesimamia shoo kila kitu nimelipia utamu nafaidi mwenyewe na ww ukitaka kuridhishwa tafta ka njemba ka gharamie kakukune vizuri sa hv unapiga kwa afya na kujiangalia ww kwanza
Chonde chonde bibie exceptional lady, utavunja ndoa za watu! umeamua kusherehekea 8 March kwa kutumbua majipu akina baba wasio nahatia?Jamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.
Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri khaaa stukeni jamanii.
MPE tena raundi ya 2 atarekebishaJamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.
Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri khaaa stukeni jamanii.
watu wengine mnapenda kujiongeza sana , we unadhani jukwaa hili la kazi gani?Exceptional Lady umenifanya niikumbuke kauli ya Donald Trump kwamba "Waafrika tunachoweza na kuwaza ni ngono na wizi tu".
Mdau majipu 24/7??? Mtoto wa watu kasema sio kujibaraguza na majipuMhuu kazi kweli kweli unataka dakika ngapi wewe? Watu tunafikiria majipu wewe unafikiria kut.mbwa muda mrefu
Ebwana kuna tofaut gani ya KUKOJOA HARAKA NA KUWAH??YNyie mademu Sijui mna matatizo gan tukikojoa haraka shida tukiwah shida Sasa Sijui tuache tusiwapige mashine
nilidhani ipo hivi ( ) kumbe ipo hivi [ ], mm basi
Endeleeni kuchelewa katika tendo la ndoa ili muambukizane magonjwa utafiti unaonyesha wale woote waendao mbio na kufika mapena kileleni waba asilia ndogo mno wa kupata magonjwa ya kuambukiza ukilinganisha na wale wanaohamia kifuniAchana na hao washamba na wachovu dada, njoo nikupe raha, hutajuta na hongera kwa kuwa muwazi.
Jamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.
Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri khaaa stukeni jamanii.
Hahahaaa wewe uko 20s unatembea na wababu 50+ unategemea nini hapo??