MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Akiongea katika kipindi cha channel 10,mheshimiwa Tundu Lissu amedai rais Magufuli ni breed kati ya waziri mkuu mstaafu,marehemu Sokoine na waziri wa mambo ya ndani wa kipindi hicho ndg Mrema.
Alipoulizwa kwanini anamfananisha Magufuli na Sokoine ndugu Lissu alidai "Magufuli na Sokoine wanafanana kwa maana wote hawana utaratibu wa kufuata utawala wa sheria kabisa" huku akiendelea kusema "Magufuli na Mrema wote wanafanana kwa kuwa na tabia ya kucheza na vyombo vya habari,akimaanisha kwamba hawa wawili ni watu wanaopenda kuwa kwenye front pages na headlines kwenye magezeti (ujiko),wakifanya vitu hivi kwa manufaa ya vyombo vya habari".
Mdau sijui una lipi la kusema kumhusu hili?

Last edited by a moderator: