Recent content by Kelvin A. Mtoma

  1. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni Simba anatokea wapi leo. Kila nilipoangalia sijaona

    Dah! Unaficha wapi sura yako muda kama huu
  2. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Na ikawe heri kwake na wa-Tz kwa ujumla. Wenye kuamini na tuseme Amen 🙏
  3. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya marumaru (tiles )

    Uzi mzuri sana, kwa mtoa huduma aliyepo Mwanza tuwasiliane au tuelekezane ofisi
  4. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Video: Trafiki akijidhalilisha kwa kucheza barabarani

    Kwa aliyeona Drone Camera atajua kuwa ni muigizaji, lakini siyo vibaya ukaendelea na imani yako
  5. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Majina halisi yaliyothibitishwa, picha halisi, bado tupo pamoja
  6. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Sawa! Nami ni miongoni mwao
  7. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

    Angalau leo nimeokota kitu JF, ubarikiwe sana.
  8. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Corona ni ugonjwa hatari
  9. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

    UPDATE Level ya Foundation kwa masomo niliyotakiwa nimeikamilisha baada ya matokeo kutoka leo hii (23/12/2019), nime-pass kwa alama B kila somo. Najipanga na hatua itayofuata mwakani! Hadi niujue ukweli kwa kushiriki kikamilifu kwa vitendo.
  10. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

    Baada ya kupitia hoja zote za pande mbili, nimeamua kuchukua fomu ya kujisajili (www.nbaa.go.tz). Aidha, nimefika mwenyewe ofisi za NBAA Dodoma na kuwasilisha kile nilichonacho (vyeti) na baada ya wao kuvipitia, nikatakiwa kuanzia Foundation na angalau nifanye masomo mawili ya Financial...
  11. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano kuwa baadhi ya fedha za umma zilikuwa/huwa zinaingizwa kwenye akaunti binafsi ya Rais?

    Neno NINGEWEZA lina maana kubwa sana.
  12. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Juma Kasim Nature a.k.a kiroboto a.k.a kibra. ....

    ...ugali hata kibogoyo anakula, si atamung'unya ...
  13. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Anza *152*00# kisha chagua 3. Ajira na Utambuzi chagua 2. NIDA baada ya hapo fuata maekekezo ukiwa na salio la 100/= ya sadaka
  14. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Naona 100 zinazidi kuyoyoma lakini jibu la namba ya kitambulisho sipewi. Kuna aliyefanikiwa baada ya kukubali makato ya Tsh 100 kupitia *152*00#?
  15. Kelvin A. Mtoma

    JamiiForums Tanzania Je, CAG kushindwa kumtaja kwa jina mbunge wa CHADEMA aliyemilikishwa gari la chama siyo Udhaifu?

    Ikipatikana ripoti iliyowahi kutaja jina la mtu mniite niwaeleze kitu!
Back
Top Bottom