Ushauri juu ya marumaru (tiles )

Ushauri juu ya marumaru (tiles )

Mkuu, kama tiles zinakupasua kichwa, tumia "wood flooring". ni bora na rahisi kuliko hizo tiles na zinapatikana hapo DSM.
Mkuu hizo wood flooring zinapatikana sehemu gani dar, maana sisi tulioko mikoa ya baridi wood flooring ni bora kuliko tiles
 
Back
Top Bottom