Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

NIDA WANAKATA 100/= ZAIDI YA HAPO BASI UMEANGALIA ZAIDI YA MARA 1. ILA TATIZO NI KUCHELEWA KUJA KWA MAJIBU
 
Mnielekeze nikipiga hiyo menu nachagua nini
 
Miradi kama miradi mingine tupo zaidi ya 50m.

Wakituma watu 10m only 100tsh wanakuwa na 1b.
 
Dah nilidhani niko pekeyangu. Mie wameshakwara 400 yangu wananiambia kila siku taarifa hazipo. Na wakati nimejiandikisha toka Feb 2017
 
NIDA WANAKATA 100/= ZAIDI YA HAPO BASI UMEANGALIA ZAIDI YA MARA 1. ILA TATIZO NI KUCHELEWA KUJA KWA MAJIBU

Nilituma mara ya kwanza nikaona kimya, nikahisi mtandao umezengua baada ya dk kama tano nikatuma tena, nikasubiri kwa siku mbili hola.
 
baada yakula 600/= walituma huu ujumbe

Ombi lako la kitambulisho linaendelea kushugulikiwa. NIN yako ni 19950****3301****426
 
Back
Top Bottom