Recent content by keizzy

  1. K

    Biashara ya Tiles Dar au Dodoma

    Wanabodi salama? Nafikiria kuingia kwenye biashara ya tiles (ceramic na porcelain) importing kutoka nje ya nchi. Nna uelewa kidogo wa hizi products kupitia kwa mafundi wa tiles na kudeal na suppliers pale kariakoo. Naweza kuanzisha hapa hapa Dar au Dodoma. Ingawa wauzaji wapo wengi ila...
  2. K

    Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Bishara yoyote inaweza kukutoa ukitumia akili vizuri. Najua kuna jamaa ana turnover ya 400M kwa mwaka kwa kuuza lollipop (Pipi za kulamba).
  3. K

    Capital Gain Tax ni nini?

    Mkuu vipi kama unanunua plot yenye HATI ipo kwa jina la kampuni (family business) ? Je capital gain bado ni 10%? Kampuni iko dormant since 2011. Shareholders ni mzee na watoto wake. Mzee ndio anauza na shareholders wame approve kwenye kikako mzee auze na hela ingie kwenye account ya mzee.
  4. K

    Nafanya online business, mwenzangu ulifanikiwa vipi suala la uaminifu?

    1. Weka return policy. Labda ya week 1 pale mteja asiporidhika na bidhaa basi anairudisha na wewe unamrudishia hela yake. 2. Weka system ya reviews na ratings kwenye platform yako. Yani wateja wawekze kutoa reviews pale wanaporidhika na product. 3. Kua na reliable delivery company, ukisema...
  5. K

    Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

    Developers wa apps inabidi watambue wabongo wengi wananunua smartphones kwa ajiri ya sababu kuu mbili tu, 1) Entertainments na 2) Communications. Entertainment kwa maana watu wengi wanataka waweze kutumia social media platforms kiurahisi kama Instagram, facebook, youtube au twitter na maybe...
  6. K

    Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

    Yusuph Manji na makashikashi alizopata bado yupo kwenye top 10? Kweli yuko vizuri jamaa. Halafu nimegundua hawa matajiri wote wameinvest kwenye consumer goods. Duh mbantu mmoja tu hapo, labda na bilionea laizer wa tanzanite ataongezeka hapo
  7. K

    Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

    Ukitaka kuwa millionea tatua matatizo ya watu elfu moja, ukitaka kuwa billionea kama bakhresa inabidi utatue matatizo ya watu million moja, ukitaka kuwa trilionea kama bill gate au mark zuckerberg tatua matatizo ya watu bilioni moja.
  8. K

    Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    On demand ride hailing. Hii naona bado kuna niche ukiwa na good value proposition na seriousness.
  9. K

    Hebu leo tujadili ni kampuni zipi zinafanya vizuri kibiashara hapa Tanzania?

    Idea nzuri sana, ushindani hapa bongo ukoje? Who is doing it? Nairobi kuna kampuni inaitwa sendy, very successfully . Hongera sana chif.
  10. K

    Katika Matajiri wetu 10 wa juu Tanzania, hakuna aliyesoma Chuo Kikuu ndani ya nchi! Uchumi wetu unategemea elimu za nje, kwanini?

    Habari Wadau.. Wote tumeguswa na msiba wa tajiri wetu mweusi Mr. Mengi aliyekuwa anaenda level zisizopishana sana na Watanzania weupe Wasifu wake unaonesha hata yeye hakukanyaga chuo kikuu chetu .. Na hapo hapo akapata akili ya kuwa tajiri na industrialist mkubwa sana... Je, elimu yetu ipo...
  11. K

    Feedbacks medical advice application

    Wakuu, Nina application yangu nimeiachia play store inaitwa hellodokta (Beta version release now) inayousu maswala ya afya ya uzazi wa kike na kiume pamoja na afya ya mtoto. Basically app hii inakuwezesha kuuuliza swali au kuomba ushauri anonymously na kujibiwa na verified doctor instantly...
  12. K

    Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

    Kafeli kapata division ngapi na alikua anasoma wapi?
  13. K

    Node SDK api for mobile payments

    Wakuu, Natafuta kampuni nzuri yenye low transactions fee and great customer service inayotoa mobile payment API for android apps, specifically node sdk integration. Nahitaji kuintegrate payment gateway kwenye app yangu. Nimecheki nyingi naona ziko Kenya. Shukrani wakuu.
  14. K

    Natafuta kazi ya Mkurugenzi wa Kodi

    Nafikiri alimaanisha dollar 1500. Kama 3M flani.
  15. K

    Karibuni kwa wazo la biashara ya kukodisha baiskeli

    Safi sana, jaribu kuzifungua gps tracking device kupunguza zisiibiwe.
Back
Top Bottom