Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Android or ios

  • ANDROID

  • iOS


Results are only viewable after voting.
Nilikuwa nina wazo la Drop Shipping na nikajifunza . Ila nina wazo kama hilo ila ni tofauti.

Drop Shipping nikaona sitaweza kuwa nalo Sustainable.

Ila kuna kitu mm nina amini kwenye kupata wazo la biashara.
Ni kujaribu na kujifunza vitu vipya. (Gaining Knowledge).

Ni kama kuunoa/kuupa nguvu Ubongo wako. Ipo siku utajikuta unakuja na Bonge la wazo la biashara.

Mm kichwani ni mjasiliamali. Ingawa sijafanya ujasiliamali so far. Ila nishafanya biashara nne so far.

When Time, Resources zote nikizipata nitafanyia kazi mawazo yangu moja had lingine.
Haha Duniani kupata Time & Resources kwapamoja kitu kigumu sana na hapa ndipo watu wanakwama inabidi utumie akiri sana na Hustle kupata vitu viwili kwa pamoja..
 
Matajiri wetu wakubwa Tanzania kuanzia wa kwanza Hadi wa 12 list yao Ni Kama ifuatavyo:-

1.Mohammed Dewji.
2.Rostam Azizi.
3.Said Salim Bakhresa.
4.Reginald Mengi.
5.Ally Awadh.
6.Shekhar Kanabar.
7.Shubash Patel.
8.Fida Hussein Rashid.
9.Yusuph Manji
10.Salim Turkey
11. Ghalib said Mohamed
12.Yogesh

Kwnye list nzma hapo naona kuna mbongo pure mmoja tu wengine wote wahindi .......
Bado tuna safar ndefu tukomae tu.
 
Do common things, uncommon.
Take opportunity, exploit to maximum, never mind people's problem b'se you have yours, otherwise sacrifice yourself to be charity center
 
Yawezekana sana, anza biashara ndogo ndogo, iwe inakuwa, ikifika level fulani, piga bonge la deal uongeze mtaji, liwe deal la maana na omba usikamatwe, kila la heri
Bonge la deal ni kubet tu
 
Nipe huo ushauri mkuu. Nausubiri.
Sawa nafanya hivyo, ila sasa ushauri utakuwa vague kwa sababu, ki score kadi changu hapo juu haujakijibu.
Kwa kuanzia itabidi ujue msingi ni "kununua kwa bei nafuu na kuuza kwa faida".
 
[QUOTE"]
Matajiri wetu wakubwa Tanzania kuanzia wa kwanza Hadi wa 12 list yao Ni Kama ifuatavyo:-

1.Mohammed Dewji.
2.Rostam Azizi.
3.Said Salim Bakhresa.
4.Reginald Mengi.
5.Ally Awadh.
6.Shekhar Kanabar.
7.Shubash Patel.
8.Fida Hussein Rashid.
9.Yusuph Manji
10.Salim Turkey
11. Ghalib said Mohamed
12.Yogesh

Kwnye list nzma hapo naona kuna mbongo pure mmoja tu wengine wote wahindi .......
Bado tuna safar ndefu tukomae tu.
[/QUOTE]

Yusuph Manji na makashikashi alizopata bado yupo kwenye top 10? Kweli yuko vizuri jamaa. Halafu nimegundua hawa matajiri wote wameinvest kwenye consumer goods. Duh mbantu mmoja tu hapo, labda na bilionea laizer wa tanzanite ataongezeka hapo
 
Mkuu kuwa tajiri sio kitu rahisi kwenye uchumi tulisoma kuna njia kuu 3 za utajiri.
1.Ni kurithi-hii inachukua zaidi ya 90%
2.uvumbuzi kama akina bilget,jeff bezos
3.Ni bahati nasibu
Ndio uhalisia. Japo masikini wengi humponda MO
 
Mh! Nilibahatika kukutana nae ila sikumuuliza hili swali, nilichomuuliza, hua anatumia kitu gani kutafuta wazo la biashara hadi akiianzisha inafanikiwa? Akasema wengi nnaokutana nao wanaomba pesa, nikamwambia ukinipa pesa ntaitumia itaisha, sitaki kurudi tena kukuomba pesa siku ingine.

Zaidi ya kuniuliza naitwa nani, nafanya nini na naishi wapi hatukuweza kufikia muafaka na boat ilikua imefika tukashuka.

Bahati mbaya boat ilikua ndio inakaribia kutia nanga akasema hata hiyo miradi na biashara anazifanya, haziendi ki ulaini kama tunavyoona huku nje, kuna zingine zinacjangamoto na huingia hasara inabidi warekebishe au kubadili mfumo.

Awazavyo mtu, ndivyo alivyo. Ukiendelea kuwa na mawazo ya kuwa tajiri ukachukua hatua stahiki, unaweza usiwe kama Bakhresa ila utakua na pesa.

Utajiri unaanzia kichwani kwenye fikra na mawazo yako.
Hongera sana kwa kukutana naye
 
Hongera sana kwa kukutana naye

Ni bahati tu haikuwa appointment rasmi. Nilikua kwa boat kule daraja la juu ikatokea ametoka ndani, yeye alikaa bridge (Wanapokaa waongoza chombo) nilikua viti vya mwanzo ndio katika kupitapita ikatokea amekaa kiti kilichokua pembeni yangu akiwa anauliza experience ya usafiri wa vyombo vyake.
 
Habari Wakuu

Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.

Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha?

Toa maoni yako hapo [emoji116][emoji116]
Swal lako tamu sana unatuuliza sisi wakat sisi wenyew tunawaza hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom