Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Nifanyeje ili nifanikiwe kama Bakhresa?

Android or ios

  • ANDROID

  • iOS


Results are only viewable after voting.

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
198
Reaction score
482
Habari Wakuu

Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.

Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha?

Toa maoni yako hapo [emoji116][emoji116]
 
Habari Wakuu

Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.
Je nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha ??

Toa maoni yako hapo [emoji116][emoji116]
Unataka kuwa kama Bakhresa lakini unakuja kuomba ushauri kwakina sie akina mwajuma ndala ndefu. Are you serious?
 
Ukitaka kuwa millionea tatua matatizo ya watu elfu moja, ukitaka kuwa billionea kama bakhresa inabidi utatue matatizo ya watu million moja, ukitaka kuwa trilionea kama bill gate au mark zuckerberg tatua matatizo ya watu bilioni moja.
Mfano please.
 
Back
Top Bottom