Capital Gain Tax ni nini?

Capital Gain Tax ni nini?

Capital gain ni mojawapo ya income tax. Kodi hii hutozwa kwa mtu ambaye amegain faida baada ya kudispose asset yake ie property, share, bonds,au stock.

Sheria ya kodi inatumia neno “ realisation of asset” badala ya neno capital gain.

Kodi hii huchajiwa kwa kuchukua amount ya mkataba wa mauziano au valuation REport whichever is greater. Mkuu valuation Report ya nyumba yako ni 134M na rate ya kodi hapo ni 10% ambayo italeta 13M.

Lakini ukokotoaji wa percent unajumuisha expenditures ulizotumia kwenye kupata nyumba hiyo. Hivyo basi TRA watatoa hizo expenses kutoka kwenye hiyo 134M.

Let say costs ulizotumia kumantain hiyo nyumba ni 90M hivyo gain itakuwa 134M-90M.Hivyo gain ni 44M ambapo 10% yake ni 4M
Jesus!whichever is greater aisee..why not the actual selling price..huwezi komaa nao on the base ya kiasi ulichopata tu?.

in this case kashauza kwa 80Million.,haki iko wapi?.

like for instance nieleweshe zaidi pls
What if akiweza kuprove the cost of that asset ni kubwa kuliko hata bei waliyouzia si atasave TRA wasimpige hio kodi au how does it work?
Nmepreview ITA Sec 36 kwenda mbele kidogo i see obviously mtu unaweza u'kawa na loss/gain
 
Mkuu naona kuna haja yankutafuta watalaam.. wanisaidie
Ukikosa wataalamu komaa nao Mama tyr ushasema umepata hasara na mauzo halisia ni 80M!
Wajumlishie bei za ujenzi kwanza
Wadau naona wametoa ushauri mzuri humu
 
Nadhani TRA wanapewa target ambazo zinafanya waaumize wananchi.
Jesus!whichever is greater aisee..why not the actual selling price..huwezi komaa nao on the base ya kiasi ulichopata tu?.

in this case kashauza kwa 80Million.,haki iko wapi?.

like for instance nieleweshe zaidi pls
What if akiweza kuprove the cost of that asset ni kubwa kuliko hata bei waliyouzia si atasave TRA wasimpige hio kodi au how does it work?
Nmepreview ITA Sec 36 kwenda mbele kidogo i see obviously mtu unaweza u'kawa na loss/gain
 
Nadhani TRA wanapewa target ambazo zinafanya waaumize wananchi.
Its true they are js doing their job
And its yours to stick ur ground kuonyesha ushahidi kwamba kiuhalisia hujapata faida bali mmepata hasara hasa wakilinganisha na hio market value...

dont forget Capital Gain is only on the 'profit' na sio full amount..consult inbox baadhi ya hawa wadau walioshauri naona wametoa ushauri mzuri
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jesus!whichever is greater aisee..why not the actual selling price..huwezi komaa nao on the base ya kiasi ulichopata tu?.

in this case kashauza kwa 80Million.,haki iko wapi?.

like for instance nieleweshe zaidi pls
What if akiweza kuprove the cost of that asset ni kubwa kuliko hata bei waliyouzia si atasave TRA wasimpige hio kodi au how does it work?
Nmepreview ITA Sec 36 kwenda mbele kidogo i see obviously mtu unaweza u'kawa na loss/gain
Capital Gain Kodi yaongezeko la mtaji. Inatozwa kutoka katika mtaji..for this case Ni thamani ya Nyumba.

Sasa thamani sio lazima ilingane na bei. (Value vs Price). Kwenye Ardhi Kodi yake Ni hii ya ongezeko la mtaji.. wewe unayeuza mtaji wako umeapreciate so lazima ulipie Kodi.

Tatizo letu hatujielimishi..na taarifa hizi ni bure kabisa kwenye ofisi za watoza ushuru. Unapita pale unapara shule.

Kwann wasitumie price kutoza Kodi hii..hiyo ni kutokana na udanganyifu unaoweza kujitokeza.. watu wakaleta mikataba ya bei kidogo ili walipe Kodi kidogo.. na hata wakileta mikataba halali..inawezekana njaa yako ikafanya ukapunjika katika bei na sisi lengo letu ni kutoza kodi mtaji.

Hata ukigawiwa nyumba bure kabisa, capital gain tax lazima uilipe.. maana kugawiwa kwako hakumaanishi appreciation ya mtaji (capital) imekoma.. So kwa taratibu tulizojiwekea tutaevaluate Kisha utalipa kodi

Watanzania hawapendi kutumia wataalamu... Hapo mwenye nyumba alipaswa kutumia wataalamu wa kudispose assets.. lazima wangefanya valuationa kujua value halisi.. na Kisha wangeentertain offers kwa namna inayomlinda mteja..

Ikiwemo tax exclusivity clause kwenye mikataba.. ambapo wao wangechukua 80 na kodi angelipa mnunuzi kwa makubaliano maalum.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nna mashaka na ufafanuzi wako.,i beg to differ japo tutaelimishana zaidi.,

Umepitia Income Tax Act Sec 36 (Calculation of gains and losses of Assets and Liabilities)ukaona walivyofafanua?.,
Its all about the 'gain' and not 'cost of the asset'...cost of the asset imeelezewa tofauti ipo Sec 37 na sio 'base' ya kucharge kodi

na katika context/muktadha huo kuna suala la kupata loss pia...hivyo 'base' ya tozo hio inakuwa haipo/ni negative.,

hata we hustuki does it make sense kuuza nyumba kwa actual selling price ya Mil 80.,na kuwa charged capital gain on a market value of 134Million??..sio hata the excess of 54mi bali full amount.,inaingia akilini kweli?.
Sheria inasema 'a persons' gain from realization of an asset or liabilities....' ..haijataja habari ya market price.,
 
Tatizo tunaemshauri kajipa jina la Tabutupu
Jina linaumba wanasema sijui lkn. (just kidding, usichukulie seriuos)
 
Nna mashaka na ufafanuzi wako.,i beg to differ japo tutaelimishana zaidi.,

Umepitia Income Tax Act Sec 36 (Calculation of gains and losses of Assets and Liabilities)ukaona walivyofafanua?.,
Its all about the 'gain' and not 'cost of the asset'...cost of the asset imeelezewa tofauti ipo Sec 37 na sio 'base' ya kucharge kodi

na katika context/muktadha huo kuna suala la kupata loss pia...hivyo 'base' ya tozo hio inakuwa haipo/ni negative.,

hata we hustuki does it make sense kuuza nyumba kwa actual selling price ya Mil 80.,na kuwa charged capital gain on a market value of 134Million??..sio hata the excess of 54mi bali full amount.,inaingia akilini kweli?.
Sheria inasema 'a persons' gain from realization of an asset or liabilities....' ..haijataja habari ya market price.,
Ardhi Haina Loss lakini.. land will always appreciate. Sasa sijui loss ya hapa unaifafanuaje mkuu.

Ardhi Ni mtaji.. na kwa mujibu sheria Ardhi..inajumuisha kipande cha Ardhi na maendelezo permanent yaliyo juu yake.

Capital Gain inatokana mtaji (capital) na sio faida ... Ni Kodi ya ongezeko la mtaji. Sio Kodi ya faida tokanayo na mtaji..

Nimesema kama nilivyoelewa ..na huanda kukawa na maelezo mengine ..lakini haya niliyofikisha ni kutokana kuuliza huku na kule.

Kikubwa nakukumbusha tu.. Thamani sio lazima ilingane na bei. Bei ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi.. ila thamani it's independent of personal preferences.

Mfano Mimi naweza kuwa na dhahabu ambayo thamani yake Ni milion 200 lakini nikawa tayari kuiuza kwa milion 10 kwasababu ninauguliwa na mtoto na milion kumi ndio inayosimama Kati ya uhai wake na kifo..

Hapo haimaanishi thamani ya dhahabu yangu imeshuka hapana.. ila bei tu ndio imeshuka. Sasa hauwezi kujenga mfumo wa Kodi juu ya unstable platform. Na kwa scenario hii ya Ardhi it's only fair to base the tax on value.

Sote tunajifunza mkuu.. speak your mind.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri.. nadhani tatizo linakuja , kwanini wasikadirie gharama za ujenzi etc ili kupata the actual capital gain.

Tatizo Kiongozi...linaanza na muuzaji.. wengi wetu tulizoea Kufanya mambo kienyeji..

Kabla ya kuuza mlipe mtamini akufanyie Utaratibu ..ujue thamani ya nyumba yako... Maana thamani sio tu pesa uliyojengea.. Kuna matumizi ya kikodi Kama barabara, mifereji, Mifumo ya maji taka, shule na hospitali ambavyo huongeza thamani ya nyumba.

Lakini kuwa karibu na uwekezaji usio wako, mfano, chuo kikuu, kituo cha mafuta, Uwanja wa michezo, ofisi kubwa za makampuni.. uwekezaji huu japo unafanywa na wengine bado utaathiri thamani ya nyumba yako.

Kwa hiyo gharama za kununua kiwanja na kujenga nyumba pekee.. haziwezi kuwa kipimo sawa.. maana hata zenyewe tu zipo subjected to fluctuating currency value over time.

Thanks Mkuu
Tatizo Kiongozi...linaanza na muuzaji.. wengi wetu tulizoea Kufanya mambo kienyeji..

Kabla ya kuuza mlipe mtamini akufanyie Utaratibu ..ujue thamani ya nyumba yako... Maana thamani sio tu pesa uliyojengea.. Kuna matumizi ya kikodi Kama barabara, mifereji, Mifumo ya maji taka, shule na hospitali ambavyo huongeza thamani ya nyumba.

Lakini kuwa karibu na uwekezaji usio wako, mfano, chuo kikuu, kituo cha mafuta, Uwanja wa michezo, ofisi kubwa za makampuni.. uwekezaji huu japo unafanywa na wengine bado utaathiri thamani ya nyumba yako.

Kwa hiyo gharama za kununua kiwanja na kujenga nyumba pekee.. haziwezi kuwa kipimo sawa.. maana hata zenyewe tu zipo subjected to fluctuating currency value over time.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
hata we hustuki does it make sense kuuza nyumba kwa actual selling price ya Mil 80.,na kuwa charged capital gain on a market value of 134Million??..sio hata the excess of 54mi bali full amount.,inaingia akilini kweli?.
Sheria inasema 'a persons' gain from realization of an asset or liabilities....' ..haijataja habari ya market price.,[/QUOTE]

Nadhani nimekuelewa Sasa.. I rushed through this comment.. ngoja nirejelee source nitarudi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ardhi Haina Loss lakini.. land will always appreciate. Sasa sijui loss ya hapa unaifafanuaje mkuu.

Ardhi Ni mtaji.. na kwa mujibu sheria Ardhi..inajumuisha kipande cha Ardhi na maendelezo permanent yaliyo juu yake.

Capital Gain inatokana mtaji (capital) na sio faida ... Ni Kodi ya ongezeko la mtaji. Sio Kodi ya faida tokanayo na mtaji..

Nimesema kama nilivyoelewa ..na huanda kukawa na maelezo mengine ..lakini haya niliyofikisha ni kutokana kuuliza huku na kule.

Kikubwa nakukumbusha tu.. Thamani sio lazima ilingane na bei. Bei ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi.. ila thamani it's independent of personal preferences.

Mfano Mimi naweza kuwa na dhahabu ambayo thamani yake Ni milion 200 lakini nikawa tayari kuiuza kwa milion 10 kwasababu ninauguliwa na mtoto na milion kumi ndio inayosimama Kati ya uhai wake na kifo..

Hapo haimaanishi thamani ya dhahabu yangu imeshuka hapana.. ila bei tu ndio imeshuka. Sasa hauwezi kujenga mfumo wa Kodi juu ya unstable platform. Na kwa scenario hii ya Ardhi it's only fair to base the tax on value.

Sote tunajifunza mkuu.. speak your mind.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna concept mbili tunazijadili hapa ambazo ni value/thamani na cost/gharama ya Asset.,

Labda ulimaanisha ardhi ina'appreciate/kupanda thamani na sio suala la loss...mana mfano ukinunua ardhi milion 6 afu uiuze mil 3 ni nini kama sio hasara hio?.market price yaweza kuwa 7million lakini what if hujapata mteja na una shida ?kwani kuna tatizo kuuza ili upate hela unayotaka?.

navoelewa its all about what you have 'realized/gained' in that particular transaction...

Habari ya tax base kuwa on an unstable platform sijui kama inahold sana kwani kuna maelezo ya ku'compute gain/loss on realization of an asset...

kilichonitatiza ni sijaona habari ya 'market price' katika Sheria ya Kodi..iwapo umeiona labda utuelimishe zaidi
 
Tatizo la market price sio stable ... Na inaweza kuwa manipulated for gain and tax evasion... Tukisema tuangali kwa angle hiyo Kuna uwezekano mdogo mno wa kupata Kodi hii.. plus Watanzania wengi hawana records to support hiyo gain..

Mfano mtu anamaliza ujenzi. Na hajui hata ujenzi umemgharimu kiasi gani... Sasa kujenga hoja juu ya ongezeko la mtaji ni ngumu.

Na hii ya kuuza jwa bei chini ya thamani ..hakuondoi appreciation ya mtaji(capital) ...yule aliyenunua he is just lucky amepata more value.. na huo utajiri unapohama mikono lazima part of it iende kwa jamii.. hence taxation..

Namna gani inakokotolewa nimepewa maelezo nikiisha kuyapitia na kuyaelewa nitarudi hapa..mkuu..

Nice exchange.. BTW price isikukanganye maana wakati mwingine hata ignorance of the buyer and seller inaweza kuiathiri.. so under perfect conditions wote wako knowledgeable..and selling under no pressure.. price might reflect value.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Tuendelee tu kuelimishana Mkuu
 
Capital gain tax ni mojawapo ya kodi ya zuio ambayo muuzaji wa asset anatakiwa kulipa. Faida ndio inayotozwa kodi. Kama ni raia wa Tanzania ni 10% na kama ni mgeni ni 20%. Hii inaaply kwenye asset kama nyumba na ardhi.

Mkuu vipi kama unanunua plot yenye HATI ipo kwa jina la kampuni (family business) ? Je capital gain bado ni 10%? Kampuni iko dormant since 2011. Shareholders ni mzee na watoto wake. Mzee ndio anauza na shareholders wame approve kwenye kikako mzee auze na hela ingie kwenye account ya mzee.
 
TRA inaongozwa na makanjanja wengi sana aisee, kuna kitu kinaitwa capital gain na capital loss, capital gain tax inatozwa pale mfano ulinunua capital asset kwa million 10 ukaja ukauza kwa million 15 so unafaida ya million 5 kwa capital gain tax utatozwa 10% ya 5 million and not 15 million, pia kama utauza hiyo assets kwa million 8 wakati ulinunua million kumi hapo utakuwa na hasara ya million 2 so itakuwa ni capital loss na hutatozwa hata senti moja ya capital gain. Tuje kwa Hao makanjanja kama walifanya evaluation kwa sasa ni million 134 pia walipaswa waevaluate first time unaanza kumiliki hiyo nyumba ilikuwa na thamani ya shingapi ili ndo waje watoe kwenye hiyo 134m kupata tax base, mfano kama watagundua first time unamiliki ilikuwa na thamani ya million 90 ndo inakuwa 134-90=44 kwa hiyo kodi utakayopaswa kulipa ya capital gain tax ni milioni 4, makenge hao acacia kauza mgodi hayakutoza hata senti moja Leo wewe mnyonge wanakuja kukunyonya utazani ni mrundi hebu tafuta mwanasheria akusimamie

ndo mana hii nchi haiendelei,,mtu kapata kafaida ka laki mbili wanamkomalia alipe makodi. lakn wakija wagen wanachekewa chekewa tu. yan hyo ya mgodi imeniuma sana asee
 
Back
Top Bottom