Hebu leo tujadili ni kampuni zipi zinafanya vizuri kibiashara hapa Tanzania?

Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025

Idea nzuri sana, ushindani hapa bongo ukoje? Who is doing it? Nairobi kuna kampuni inaitwa sendy, very successfully . Hongera sana chif.
 
Habari wadau,

Hebu leo tuacheni vibiashara vidogo vidogo tuje kwenye makampuni, sasa tujadiliane katika kampuni ulizowahi kufanya nao kazi. Je, ni kampuni ipi unayoona na rahisi kuanzisha na inaingiza faida kubwa per annual.

Je, ni kampuni ipi ukianzisha ni rahisi sana kupata wateja na ku-cover ile kitu inaitwa return on investment ( ROI)?

Tambua kuna makampuni mengi kama IT, Manufacturing, Mining, Commission Agent, Recruitment, n.k

Je, ni kampuni zipi ndogo ndogo zinafanya vizuri sana kwa hapa Tanzania kwa ss hivi? Taja kampuni ambayo unatamani ufungue kama vipi elezea mtaji unaohitajika, utafutaji wa soko, changamoto n.k.

Ukielezea vizuri unaweza pata Business Partner hapa hapa, kesho mnafungua kampuni yenu.

Hebu njooni hapa tujadili wadau .

------------------------
Baadhi ya michango
Unalengo la kuwaongezea kodi?
 
Nadhani kampuni ya kilimo biashara (agribusiness) inaweza kuwa na faida kubwa sana kwa mazingira ya kibongobongo.

Kama kampuni hutakiwi kuingia shambani kukimbizana na mvua za msimu na nzige...

Unakuwa una link bei ya sokoni na ya shambani. Unaingia zako shamba unachukua Mzigo unaleta mjini.

Hapo tayari una usafiri wako wa gari LA mizigo (kwa start ups unaweza kukodi gari).

Yaani Kule shambani bei huwa ndogo sana na unawwZa kupata faida Mara mbili kama utazicheza vema karata zako...

Unatafuta oda mashuleni au vyuoni na magerezani unakuwa unawapelekea chakula kama mchele maharage n.k
Tupe uchambuzi yakinifu boss kama una maarifa yakutosha ktk sekta hiyo ili watu wakulupuke,maana unaweza mtu akaogopa kumbe mambo ni simple ila tatizo ni maarifa.
 
Acheni kutishana bana na kuibiwa idea. Tambueni kuwa kuna idea na uwezo wa kurun biashara ikawa profitable na huu uwezo ndo kinacho angaliwa na wawekezaji wengi. Na bila shaka tunatambua kuwa idea nyingi zina exist kwenye nchi au mahali kwingine. So nawatia moyo msiogope kushare, watu wanaweza kucpy idea yako ila sio plan yko, na ukiona aliyecopy kapita kwenye plan yako na kakuzid jua alijua kuipambanua idea na kujenga biashara juu yake zaid yako
 
Ni kweli kuwa algorithim unazo wewe...lakini unasahau kuwa si wewe pekee ambaye una coding skills. There are other good guys out there.

At this ideation stage...hukupaswa kuisemea semea sana hii project....progress ungeifanya nyuma ya pazia na ungekuja kuiweka wazi once something concrete kimeanza...

Unaweza kushangaa baada ya wewe kuweka wazi hapa jamaa mmoja akakusanya timu yake wakaingia kazini na wakawatangulia sokoni.
Mkuu wacha wafanye am not that selfish..nina mambo mengi sana am working on .. kwa moyo mmoja tu let them do
 
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
TAFUTA MTU MMOJA ANAITWA STRIVE MASIYIWA , thank me later

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa nchini Tanzania biashara ambazo zipo imara ni Biashara ya Madini, utalii, Nguzo za Umeme, biashara ya mifugo(ng'ombe,mbuzi na kondoo) na biashara ya spare za pikipiki na bajaj.
Au upate connection ya kusambaza kitu kwa wakandarasi wa miradi mikubwa kama SGR na Bwawa la umeme. Ukisambaza Chakula, kokoto, n.k utakuwa bilionea
Nje ya biashara hizo unajitafutia mawazo.
 
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
Huwa kuna coincidence in ideas.Siku moja nipi nasafiri kutoka Njombe kwenda Dar tulipifika maenro ya mtwango wakaingia abiria wakajatiwa tijeti ndsni ya gari.Nikapata wazo hivi haiwezi kuanzishwa app ambayo watu wa vijijini wakakata tiketi mtandaoni kwa m-pesa? Jibu likaja inawezekana.Sasa nilipofika Dr baada ya miezi kama sita nikasikia redioni jamaa wapo ktk hatua za kutest system hio.Nijagundua unachokiwaza juna wenzio wanawaza hivyohivyo.Mgongano wa mawazo.Nakushauri idea yako ifanyie kazi haraja kabla hujasikia watu wakitest system kama yako.
 
Back
Top Bottom