Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Sawa...hzo nchi zilifanya mapinduz ya kiviwanda ma kuchakata raw materials za mashamban na ardhin.

Sasa hawa vijana wako wa silicon dar technolojia zao unazijua kwanza mkuu...ni mifumo ya kiprogram ya ajab ajab ya anasa.wakat bado nchi zetu zna strugle na chakula miundombinu.afya.makazi etc..

Mkuu nadhan kuna sehem hatuelewan mim na wew
Sasa mkuu hilo ni tatizo la thinking tu,Hao hawajataka kutatua matatizo yetu wanajaribu kutatua matatizo ya dunia,sidhani kama ni jambo baya"TO THINK GLOBAL"

Vile vile hio mifumo ni ya ajabu kwa mtu ambaye level yake ya thinking haijafika viwango hivyo.Kwa wale ambao wanakifahamu KILIMO waneza tafut mifumo inayopelekea kilimo kuwa na TIJA hilo sio suala la kudharau wanachofanya,Ni suala la kushauriana na kupeana chalenges bila masimango.

Mfano Mwambie twende kwenye kilimo ila tutatunza kumbukumbu zote kidigitali kuanzi tarehe ya kuotesha,kuweka dawa kupalilia na tutarekodi kila hatua ili tujue iwapo tunafanya kilimo chenye tija.Si inawezekana hio ama na hio ni ya watu wa mbele?

Badili mindset na ujifunze kuheshimu maarifa ndipo utaona suluhu ya teknolojia.
 
Sasa mkuu hilo ni tatizo la thinking tu,Hao hawajataka kutatua matatizo yetu wanajaribu kutatua matatizo ya dunia,sidhani kama ni jambo baya"TO THINK GLOBAL"

Vile vile hio mifumo ni ya ajabu kwa mtu ambaye level yake ya thinking haijafika viwango hivyo.Kwa wale ambao wanakifahamu KILIMO waneza tafut mifumo inayopelekea kilimo kuwa na TIJA hilo sio suala la kudharau wanachofanya,Ni suala la kushauriana na kupeana chalenges bila masimango.Mfano Mwambie twende kwenye kilimo ila tutatunza kumbukumbu zote kidigitali kuanzi tarehe ya kuotesha,kuweka dawa kupalilia na tutarekodi kila hatua ili tujue iwapo tunafanya kilimo chenye tija.Si inawezekana hio ama na hio ni ya watu wa mbele?

Badili mindset na ujifunze kuheshimu maarifa ndipo utaona suluhu ya teknolojia.
Basi sawa...
 
Upo katika kuajiriwa zaid mkuu..kwa ulimwengu huu utachelewa sana..toka 2015 ushaskia ajira za maana ngap...

Sis tunashaur vijana wajikite kwenye vtu vyenye tija kwa wakat uliopo.wacheze na nyakat..nenda kkoo uone watu wanavyopiga pesa.unawezaa changanyijkiwa...na hyo ndio siri...mnaambiwa kila siku.anzia sokoni.uone watu wanataka nin..ndio upeleke bidhaa yako.sasa mtu anatengeneza program ya kufungua geti..hiv ni wangat wana mageti ya namna hyo ..hata masaki hakuna kihivyo..sjui app ya nin etc..et program ya kunwagilia bustan.hiv utawauzia watu wangap hyo programu....hiv sjui tunaelewana..au nawee ndo hao hao vijana dot com..watasubir sana.wenzao tulishastuka zaman now tunauza nafaka.mchele unga ambao kila mswahili atakula kila siku.

Jadili ninachokiongea ila ukijaribu kuhusianisha na maisha yangu binafsi utajipoteza tu mkuu

Kingine, maisha hayana njia moja na kitu unachokiona wewe ni bora pengine kuna mtu anakiona si bora kutokana priorities zake ama exposure aliyonayo.. AMINI Kuna mengi usiyoyajua kuliko unayoyajua mkuu

Kingine kuajiriwa sio dhambi au shame na ujasiriamali sio bed of roses kiasi kwamba iwe alternative ya kukosa ajira. Hivyo ishi kwenye flow zako na usipende kuhukumu safari za watu kwa limits ulizojiwekea katika life lako, Jikite kwenye kuwaelewa zaidi maana ni kitu bora zaidi kibinadamu
 
Kutokana na uchunguzi wangu wa miaka mitano hivi. Nimekuja kujua iron and steel industry ni jibu tosha ya maendeleo Africa ndio maana huwezi kuta Mzungu kachimba chuma afrika kwasababu anajua hapo ndipo mtego wamaendeleo ulipo.
 
Developers wa apps inabidi watambue wabongo wengi wananunua smartphones kwa ajiri ya sababu kuu mbili tu, 1) Entertainments na 2) Communications. Entertainment kwa maana watu wengi wanataka waweze kutumia social media platforms kiurahisi kama Instagram, facebook, youtube au twitter na maybe jamii forum, millardayo, na apps za udaku. Na communication kwa maana mtu aweze kuwasiliana na watu bure kwa maana ya whatsApp.

Na makampuni ya simu yameligundua hili mpaka kuamua kuleta simu za vitochi lakini zina whatsApp. Ukitengeneza apps nyingine yoyote nje ya sababu hizi inakua ngumu sana kupata downloads za kutosha unless uwe na mtaji mkubwa sana wa kufanya marketing and promotions na vilevile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Mimi naona inabidi developers washift kutoka kutengeneza apps kwa ajiri ya consumers yani B2C kwenda kutengeneza apps kwajiri ya makampuni yani B2B. Kwenye B2B binafsi naona ndio kuna opportunities nyingi zaidi na hakuitaji mtaji mkubwa sana kwenye marketing. Apps kama sarafu, sokowatch etc naona zinafanya vizuri sana hapa bongo.

Yani karibu industry zote hapa bongo zinaitaji disruptions za technology na innovations, industries kama logistics and transportation, educations, insurance, telecom etc, zote hizi zina opportunities nyingi sana. Uber wame disrupt transportation industry na wametoboa, kwahiyo developers waangalie watakavyoweza kudirupt industry nyingines au compete na uber tu.
 
Developers wa apps inabidi watambue wabongo wengi wananunua smartphones kwa ajiri ya sababu kuu mbili tu, 1) Entertainments na 2) Communications. Entertainment kwa maana watu wengi wanataka waweze kutumia social media platforms kiurahisi kama Instagram, facebook, youtube au twitter na maybe jamii forum, millardayo, na apps za udaku. Na communication kwa maana mtu aweze kuwasiliana na watu bure kwa maana ya whatsApp. Na makampuni ya simu yameligundua hili mpaka kuamua kuleta simu za vitochi lakini zina whatsApp. Ukitengeneza apps nyingine yoyote nje ya sababu hizi inakua ngumu sana kupata downloads za kutosha unless uwe na mtaji mkubwa sana wa kufanya marketing and promotions na vilevile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Mimi naona inabidi developers washift kutoka kutengeneza apps kwa ajiri ya consumers yani B2C kwenda kutengeneza apps kwajiri ya makampuni yani B2B. Kwenye B2B binafsi naona ndio kuna opportunities nyingi zaidi na hakuitaji mtaji mkubwa sana kwenye marketing. Apps kama sarafu, sokowatch etc naona zinafanya vizuri sana hapa bongo. Yani karibu industry zote hapa bongo zinaitaji disruptions za technology na innovations, industries kama logistics and transportation, educations, insurance, telecom etc, zote hizi zina opportunities nyingi sana. Uber wame disrupt transportation industry na wametoboa, kwahiyo developers waangalie watakavyoweza kudirupt industry nyingines au compete na uber tu.
Hivi ujaona kama umetoa hoja mbili tofauti
1)B2B kampuni
2)Industry
 
There so many useless apps [emoji23] sijui nani anawaambia watengeneze.

Mkuu, coding is about practical. Hizo useless apps wengine wanafanya kutest skills walizonazo, kama ulivyosema kwa vile soko huria hata wanafunzi wa vyuo wanaweza kucode hizo apps, lakini kikubwa siyo lazima watengeneze mamilioni ila wanafanya kutest skills walizonazo, ni kama kujaribisha silaha.

Alafu Developers wengi huwa wanaenjoy sana kudevelop apps siyo tu kwasababu zinawalipa, ni kwasababu wanaenjoy kucode.

Mwisho mm nadhani hatutakiwi kuwakatisha tamaa, tuwape moyo wajikite kwenye problem solving na si kujifunza kucode tu. Hata kama level za uchumi na maendeleo yetu yapo chini hatuwezi kukosa ideas ambazo zinalipa na zinaendana na mazingira tuliyonayo. Problems zipo kila mahali zinahitaji kuwa solved tu then pesa itakuja badaye.
 
Nadhani kuna vitu mnachanganya wote wote tu.... mimi nimefanya software/App development kwa miaka kadhaa...hii ni expirience yangu.

Mtoa Mada yuko sahihi upande mmoja.: Ni kweli kabisa...kama una lengo la kuifanya hii kazi (privately) na kutaka ndo ikutoe kimaisha..nikiwa na maana ikupe utajiri..Kwa nchi zetu hizi basi una safari ndefu sana...na sio rahisi, nakumbuka nilikua kama lead developer kwenye kampuni flani..means nilikua nalipwa mshahara regardless of what project nilikua nafanya..., mwisho nikaamua kutoka na kuingia mtaani..nlichokutana nacho.. i) mtu anakufuata kweli na shida ya system/app..ila anakwambia bajet yake laki 3. mwisho nafanya ila ukubwa wa kazi na ela anayokupa ni mbingu na ardhi., mtu anakwambia anahitaji android app kwa ajili ya hospitali yake..unamwambia nipe basi hata milion 2 nikufanyie kazi.(na hapo umempa bei ya kirafiki sanaaa), anakimbia n.k...ukweli ni huo...kwa hii nchi yetu bado sanaa...mwisho nimerudi tu kwenye ajira..maana atleast wanakupa mshahara mzuri n.k angalieni NALA ilivyokuja..halafu subiri muone how long will take to breakthru..na hapo ndo ame invest kwenye promo.

Mtoa mada amesahau upande huu: sometimes its about hobby, binafsi mfano...nina garage kabisa kwangu..naingia chini ya gari..nabadilisha rack hand...nachafuka oil ., cylinder head etc ila nafanya kama hobby..napenda magari na sio kua siku moja nawaza kuwa bilionea kwa kua mechanica. japo ukiniambia shida ya gari lako naweza kabisa kukutatulia kwa ujuzi ambao nimejikusanyia sasa ukija kwangu na kunisema...hatutaelewana.. likewise kwenye technology kuna watu aina hii...wanafanya mambo kama hobby...sio ili awe millionea siku moja...
nadhani mmepata picha..:

NB: karibuni niko na project ya engine swap..nimevua engine ya l16 1.8 carburator fuel system nataka kuweka injection., mwenye uhitaji wa hii engine anicheki...iko full
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
Kabla ya ku develop project, kwanza wajiridhishe haipo tayari online kama free software.

Unaweza kutumia muda mwingi kutengeneza kitu, halafu unakuta kipo kingine bora kuliko chako, tena cha bure.
 
Nina app yangu nahitaji investers ingia play store search nyAPP
App inahitaji invester wa nini? Ukishaiweka PlayStore kama ni nzuri, ni ya ubunifu na ya kipekee itauzika. Wengi hamtaki kubuni bali mnakopi ndiyo maana.
 
Na ndomana tunafeli..kuruka hatua kunafanya watu wapike data ilimradi.kuruka hatua ndo kunaifanya africa kuwa maskin na tegemez..tunaruhusu mifumo ya dunia ya kwanza i apply africa mwisho wa siku tunachangamana hatuwez fanya lolote sabab kila kitu kinatoka huko kulikoendelea na sis tunabweteka..na ndomana hata inventions znakua ngum sabab kila kitu kiko mezan.ila tungejifungia mipaka na kutoruhusu mchangamano nakwambia sssa hvi tungeweza tengneza magar yetu.dawa zetu.ellimu zetu etc.wataalam wetu.ila sasa ndo hvo tunarukia hatua nyingne ambayo kwetu sis inakua fake sio natural ndomana hatupig hatua
Watu wamefunga mipaka kuepuka corona lakini bado wakafa, halafu kwenye dunia ya leo unataka ujifungie peke yako?
 
Hamjamuelewa Napoleone yeye hakatai umuhim wa teknolojia na wala si kwamba hajui jinsi inavyopeleka dunia kasi.

Anachosisitiza ni kwamba, mfumo uliopo na tumekubaliana nao, hauwezi kutoa mwanya au mazingira rafiki kwa waafrika hasa hasa watanzania kuongoza au kushamiri kwenye hiyo tasnia.

Kumbuka china walichukya maamuzi magumu kama nchi yaliyohusisha sera na mikakati ya muda mrefu ikiwepo kuingia vitani au mikwaruzano na jamaa wanaofikiria kila kukicha namna ya kuendelea kuongoza kwenye teknolojia. Ni kweli dunia inaelekea 5G lakini kama nchi, hatuko tayari kuandaa watu na mazingira kuingia huko, ina maana turaletewa kila kitu kutoka huko sie wapokeaji na watumiaji tu.

Kwa sasa habari ni internet of things, machine learning, Artificial intelligent n.k kitu ambacho sie mitaala yetu ndio kwanza huenda wanaiboresha kuanza kufikiria kuingiza hivyo vitu, sasa hapo mtajikuta wakati wote mnafukuzana na mambo kwa kufuata upepo wa waliowatangulia.

Kuna wakati niliwaza bora tungewekeza zaidi kwenye mambo tunayoyaweza zaidi sisi mfano kilimo, ufugaji, madini, biashara n.k hata elimu yetu ingeweka zaidi msisitizo huko ungeona ambavyo watu wangejiajiri na kufanya maajabu.

Mambo ya electronics na computer bora tupeleke wataalam wachache wakasome huko kwenye maendeleo ambapo hata kufanya tafiti na ubora wa elimu upo juu. Ni ngumu sana kutengeneza wataalam waliobobea kwenye mazingira ya elimu iliyosheheni nadharia sana.

Kilimo? Aisee kuna mazao nililima na mengine nilinunua mwaka wa 2 sioni soko lake! Pia ukitaka kujua kama sisi tunaweza zaidi kilimo jilinganishe na dunia, namaanisha uzalishaji - quality na quantity.
 
Hii ni fursa ila naona watu wa IT hawajagundua tu.
Hao wanawaza applications ngumu ambazo hazipo compatible na society.
Hiyo ni fursa lakini ni lazima uzitafute hizo taarifa za masoko/bei na kuzifeed kwenye app. Website ya kawaida tu inatosha. Ukigoogle utakutana na websites kadhaa ambazo zinatoa taarifa za bei za mazao sokoni.
 
Mtoa Mada yuko sahihi upande mmoja.: Ni kweli kabisa...kama una lengo la kuifanya hii kazi (privately) na kutaka ndo ikutoe kimaisha..nikiwa na maana ikupe utajiri..Kwa nchi zetu hizi basi una safari ndefu sana...na sio rahisi, nakumbuka nilikua kama lead developer kwenye kampuni flani..means nilikua nalipwa mshahara regardless of what project nilikua nafanya..., mwisho nikaamua kutoka na kuingia mtaani..nlichokutana nacho.. i) mtu anakufuata kweli na shida ya system/app..ila anakwambia bajet yake laki 3.

Mkuu hapa ulikosea, we uliacha kazi ya kwenye kampuni na kufanya privately lakini still ulikuwa bado unasubiri clients then uwe hired, so you were working on someone else. Developers wengi wametajirika kwa kuja na product ambayo ina demand kubwa na kuipeleka sokoni. Labda ungesema ulidrop kwenye ajira ukaja na idea ambayo ilihitaji support ya investors then ukakwama hapo nitakuelewa.

Believe me or not kama unaweza kuja na idea ambayo iko viable na ikawa na demand kubwa still utajiri hauwezi kuepukika.

Lakini pia kutokana na dunia kuwa kijiji nadhani Developers wetu wanapaswa Kufocus soko la ndani na nje ya mipaka pia. Kuna apps nyingi wabongo tunazitumia hata waliotengeneza huko nje hatuwafahamu, Why? ni kwakuwa zinarahisisha maisha yetu na kutoa solution ya problems tunazoziface kwenye daily life.

Sasa swali linakuja kwanini Developers wetu hawawezi kucreate apps ambazo ziko hot na zenye demand kubwa siyo tu Tanzania bali worldwide?
 
Kilimo? Aisee kuna mazao nililima na mengine nilinunua mwaka wa 2 sioni soko lake! Pia ukitaka kujua kama sisi tunaweza zaidi kilimo jilinganishe na dunia, namaanisha uzalishaji - qulity na quantity.

Uko sahihi, ni kwa sababu tumekipuuzia. Ndio maana natoa wito tugeukie kukiboresha na kukiimarisha.
 
Nadhani kuna vitu mnachanganya wote wote tu.... mimi nimefanya software/App development kwa miaka kadhaa...hii ni expirience yangu.

Mtoa Mada yuko sahihi upande mmoja.: Ni kweli kabisa...kama una lengo la kuifanya hii kazi (privately) na kutaka ndo ikutoe kimaisha..nikiwa na maana ikupe utajiri..Kwa nchi zetu hizi basi una safari ndefu sana...na sio rahisi, nakumbuka nilikua kama lead developer kwenye kampuni flani..means nilikua nalipwa mshahara regardless of what project nilikua nafanya..., mwisho nikaamua kutoka na kuingia mtaani..nlichokutana nacho.. i) mtu anakufuata kweli na shida ya system/app..ila anakwambia bajet yake laki 3. mwisho nafanya ila ukubwa wa kazi na ela anayokupa ni mbingu na ardhi., mtu anakwambia anahitaji android app kwa ajili ya hospitali yake..unamwambia nipe basi hata milion 2 nikufanyie kazi.(na hapo umempa bei ya kirafiki sanaaa), anakimbia n.k...ukweli ni huo...kwa hii nchi yetu bado sanaa...mwisho nimerudi tu kwenye ajira..maana atleast wanakupa mshahara mzuri n.k angalieni NALA ilivyokuja..halafu subiri muone how long will take to breakthru..na hapo ndo ame invest kwenye promo.

Mtoa mada amesahau upande huu: sometimes its about hobby, binafsi mfano...nina garage kabisa kwangu..naingia chini ya gari..nabadilisha rack hand...nachafuka oil ., cylinder head etc ila nafanya kama hobby..napenda magari na sio kua siku moja nawaza kuwa bilionea kwa kua mechanica. japo ukiniambia shida ya gari lako naweza kabisa kukutatulia kwa ujuzi ambao nimejikusanyia sasa ukija kwangu na kunisema...hatutaelewana.. likewise kwenye technology kuna watu aina hii...wanafanya mambo kama hobby...sio ili awe millionea siku moja...
nadhani mmepata picha..:

NB: karibuni niko na project ya engine swap..nimevua engine ya l16 1.8 carburator fuel system nataka kuweka injection., mwenye uhitaji wa hii engine anicheki...iko full
Kama hobby sawa.uko sahih
 
Kabla ya ku develop project, kwanza wajiridhishe haipo tayari online kama free software.

Unaweza kutumia muda mwingi kutengeneza kitu, halafu unakuta kipo kingine bora kuliko chako, tena cha bure.
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom