Recent content by Keanu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Habari kazi gani naomba kujua, naomba tuwasiliane kupitia email yangu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Mshahara 300k, kwanini hawalipi kwa wakati sijui sababu hata niliowakuta wameacha, hakuna structure, hakuna hr, manager hakuna. Ni kama labour force unaenda unapangiwa majukumu, hakuna mkataba pia. Hela unatumiwa kwenye simu. Wafanyakazi wote niliowakuta ni wapya mbaka sasa wamebaki wawili naona...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Geita au mwanza
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Geita au mwanza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Mkoa gani niko tayar
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Makoka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Dar es salaam
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    .
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nitume sokoni

    Hapana, service charge ni kwa manunuzi ya bidhaa za sokoni. Ukinunua juice hakuna service charge. Juice Tsh 2000/lita, usafir 1000. Gharama kuu itakua ni shilingi 3000
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nitume sokoni

    Nawasalimia wana jamii forum. Naitwa Rosie nafanya delivery ya bidhaa za sokoni, mfano pilipili hoho, nyanya, karoti, mchele, mafuta ya kupikia, maharage, viungo na mahitaji mengine. Niko mabibo sokoni geti la viazi, ofisi ipo karibu na ofisi ya madalali wa ndizi na viazi. Kuna kontena kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

  12. K

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Selestini Endrew Mbena au Joseph Selestini Endrew

    Vitambulisho vimeokotwa kituo cha Chama kama unaenda Segerea vimeletwa kanisa la TAG DMC. Opposite na kituo cha Chama. Tusaidiane kusambaza ujumbe mwenyewe apate taarifa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbona Walimu hawateuliwi kwenye bodi mbalimbali?

    Walimu hawana uelewa mpana wa Mambo. Mtu kasoma Kiswahili, arts, kwenye hio bodi anaenda kufanya biashara gani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Upasuaji akiri kuiba machine ya kuangalia mapigo ya Moyo Hopitali ya Rufaa Simiyu na kuiuza Mkoani Mwanza

    Mishahara ni midogo Sana, chuoni nakosoma unakuta lecturer mwenye PhD yake anahangaika na kuku, wengine vihostel, wengine Hadi ruhuma maisha wanayoishi. Ndo maana efficiency inapungua na mtu anakua sio productive. Stress na maisha. Kuna doctor mmoja rafiki yangu nafuga nae nguruwe. Binafsi Hilo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Napataje Database ya Majina ya Viwanda vyote Nchini Tanzania?

    Kuna siku niligoogle nini sijui ikaja list ya viwanda vyote Tanzania, na contact zao. Ngoja niangalie. Ukiona kimya ujue nimeshindwa.
Back
Top Bottom