Napataje Database ya Majina ya Viwanda vyote Nchini Tanzania?

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Hello Guys!

Naombeni Mwenye kujua jinsi navyoweza kupata Contact za Viwanda na Makampuni yote ya uwekezaji Nchini!.

NINACHO KITAKA NI
1. LOCATIONS ZAO.
2. CONTACT EMAIL ZAO.
3. AINA YA KIWANDA NA SERVICE INAYOTOA.
4. MUDA KILIPONANZA OPERATIONS ZAKE HAPA NCHINI.

Locations inaweza kuwa kimkoa kwa mkoa au Kitaifa.

Nimeseach mtandani sipati.. je nikitaka napata wapi kwa ufasaha?

Email yangu kwa atakaye kuwa nayo ni:
ubunifulink@gmail.com
 
Nenda wizara ya Viwanda na Biashara
 
Nenda ubalozi wa china utapata majibu vyema kabisa
 
Hello Guys!

Naombeni Mwenye kujua jinsi navyoweza kupata Contact za Viwanda na Makampuni yote ya uwekezaji Nchini!.

NINACHO KITAKA NI
1. LOCATIONS ZAO.
2. CONTACT EMAIL ZAO.
3. AINA YA KIWANDA NA SERVICE INAYOTOA.
4. MUDA KILIPONANZA OPERATIONS ZAKE HAPA NCHINI.

Locations inaweza kuwa kimkoa kwa mkoa au Kitaifa.

Nimeseach mtandani sipati.. je nikitaka napata wapi kwa ufasaha?

Email yangu kwa atakaye kuwa nayo ni:
ubunifulink@gmail.com
Kuna siku niligoogle nini sijui ikaja list ya viwanda vyote Tanzania, na contact zao. Ngoja niangalie. Ukiona kimya ujue nimeshindwa.
 
Huko shule huwa mnafundishwa ujinga au mnahisi google ni kuangalia x tu National Bureau of Statistics - Orodha ya viwanda kwa Tanzania Bara - Desemba 2015
Bro.. Umetoa msahada ila kwa maneno makali sana.. unajua tatizo nikujua watu gani hasa wanazo au link gani hasa uko mtandaoni.. Siyo kila mtu anaweza jua kila kitu.. ata mm naweza kuwa nimepitapita nikakutana na mambo mengi tu ila kwa sasa yakawa siyo sahihi kwangu ila ni sahihi kwako hivyo siku ukapost unashida na taarifa fulan nitakupa ikiwa ninazo.. Na hii ndio nature ya binadamu hiwezi kuto mtegemea mwingine ..huwezi jua kila kitu.
 
Back
Top Bottom