inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 654
- 721
Ninekuwa nikiona watu wanaoteuliwa kwenye bodi mbalimbali ambazo mamlaka za uteuzi ni rais au mawaziri.
Wanateua watu ambao ni mabig fish tu. Watu ambao tayari wako well off. Ila sijawahi kuona mwalimu hata mmoja ameteuliwa.
Jamani huu ni uonevu, halafu nchi hii ni yetu sote jamani. Inakuwaje keki ya nchi wanakula watu wachache tena wale wale.
Jamani mamlaka za teuzi wakumbukeni walimu jamani