Nitume sokoni

Keanu

Member
Mar 8, 2021
14
11
Nawasalimia wana jamii forum.

Naitwa Rosie nafanya delivery ya bidhaa za sokoni, mfano pilipili hoho, nyanya, karoti, mchele, mafuta ya kupikia, maharage, viungo na mahitaji mengine. Niko mabibo sokoni geti la viazi, ofisi ipo karibu na ofisi ya madalali wa ndizi na viazi. Kuna kontena kwa pembeni ndo hapohapo.

Pia nauza juice ya matunda (passion, embe na parachichi) na juice ya muwa.

Lita moja Tsh 2000 kwa juice ya matunda.

Juice ya muwa pure lita 3 Tsh 12000 pamoja na usafir. Karibuni sana.

MUHIMU. mteja utanunua mahitaj kwa gharama za sokoni, utagharamika service charge na usafir. Service charge ni Tsh 3000/huduma. Usafir itategemea na eneo ulipo.

Ukinunua juice tu utalipia delivery service basi, hakutakua na gharama za service charge.

Mawasiliano 0766510504.
 
Nawasalimia wana jamii forum.

Naitwa Rosie nafanya delivery ya bidhaa za sokoni, mfano pilipili hoho, nyanya, karoti, mchele, mafuta ya kupikia, maharage, viungo na mahitaji mengine. Niko mabibo sokoni geti la viazi, ofisi ipo karibu na ofisi ya madalali wa ndizi na viazi. Kuna kontena kwa pembeni ndo hapohapo.

Pia nauza juice ya matunda (passion, embe na parachichi) na juice ya muwa.

Lita moja Tsh 2000 kwa juice ya matunda.

Juice ya muwa pure lita 3 Tsh 12000 pamoja na usafir. Karibuni sana.

MUHIMU. mteja utanunua mahitaj kwa gharama za sokoni, utagharamika service charge na usafir. Service charge ni Tsh 3000/huduma. Usafir itategemea na eneo ulipo.

Mawasiliano 0766510504.
Hapo kwenye service charge ndipo ulipoanza kuharibu sasa....

Kwa mfano ninunue juice ya matunda elfu 2, delivery iwe buku 2 afu na service charge tena buku 3. Juice ya buku 2 unainywa kwa gharama ya buku 7...

Kila la kheri lakini
 
hivi na kidonge cha Asprin huwa ni kikali hivihivi?
 
Hii business plan mbona ni mbovu? Wa bidhaa ndogo kama Asprin hawezi sogea hata umchomee ubani.. bora apate huduma karibu kwa wingi kwa pesa ambayo angelipia hizo charges zako
 
Hapo kwenye service charge ndipo ulipoanza kuharibu sasa....

Kwa mfano ninunue juice ya matunda elfu 2, delivery iwe buku 2 afu na service charge tena buku 3. Juice ya buku 2 unainywa kwa gharama ya buku 7...

Kila la kheri lakini
Hapana, service charge ni kwa manunuzi ya bidhaa za sokoni. Ukinunua juice hakuna service charge. Juice Tsh 2000/lita, usafir 1000. Gharama kuu itakua ni shilingi 3000
 
Back
Top Bottom