konde music worldwide fan
Member
- Feb 4, 2021
- 45
- 39
mkuu wewe niSasa mikate haikawii kuaribika naipenda nikipata na pinat butter na soda chakula changu cha usiku uko nyuma.chai sio sana soda napendelea kunywa na mkate.
me aumkuu wewe niSasa mikate haikawii kuaribika naipenda nikipata na pinat butter na soda chakula changu cha usiku uko nyuma.chai sio sana soda napendelea kunywa na mkate.
me auAcha ujinga. Nunua miche miwili ya sabuni jamaa ambapo ni Kama elfu tano. Fulià na kuogea hiyo hiyo jamaa.So in that case always nabaki na 32000,sabuni is there kila wiki lazima ninunue,1000+kuogea 1500 =30500...na vingine vidogo vidogo yani always nabakiwaga na 20000
Nishauri tu naweza nikabadilika....yani nilinunua viatu vilifika pea kumi na vyote vimekatika katika mikanda saizi naona it s better kununua simple najua simple nikiwa na pea ata 5 zinatosha kuliko iv vya 8000 kila siku unanunuaDada nilitaka kukushauri kitu ila nimeona niache tu baada ya kusoma hii comment nikuambie tu akuwa wengine tumesoma miaka hii hii ya Magu na hatukuwa na boom na hiyo elfu 40 ni budget ya mwezi mzima.
Wewe wakishua bana endelea kula bata tu. Maana kwa matumizi hayo ukianzisha biashara lazima ujifilisi mwenyewe.
Nishauri tu naweza nikabadilika....yani nilinunua viatu vilifika pea kumi na vyote vimekatika katika mikanda saizi naona it s better kununua simple najua simple nikiwa na pea ata 5 zinatosha kuliko iv vya 8000 kila siku unanunua
Hujasema jinsia yako lakiniBut nawaz nikimaliz c unajua ajira changamoto
Mimi natumiwa laki Kwa mwez, kila kitu humo. Maisha ni kujipanga. Ukijipanga vizur hio hela unaweza save 50k kila mwez.Nipo chuo Nina mpango wa kufanya biashara lakini biashara hii nahitaji chumba, kwa wiki natumiwa tsh elfu 40, nipo mkoa mgumu katika kupata mahitaji nikimaanisha vitu bei ghali.
Sasa jamani kila Jumapili natumiwa Pesa tajwa hapo juu lakini kila ikija ijumaa au Jumamosi lazima nikope watu ela ya kula, ela huisha katikati haifiki Jumapili, kwa nilivyojifatilia nimeona Vocha inamaliza sana ela hasa kwa upande wa bando lakini sio bando tu kila ifikapo Jumapili nanunua kila kitu ambacho sina. Maradhi kwa ujumla lakini utakuta katika 40 always nabakiwa na 20 tu, 20 inakuwa imetumika kununua vitu ambavyo sina mf. Viatu, pafyumx, lotions, sabuni, kulipa madeni kwa wanaonidai etc.
Always inabaki humo kama sio 20 basi 18_16, sasa saizi Nina mpango wa kupunguza matumizi ili nilipie chumba cha biashara na niazishe biashara ndogo iweze kunipa faida niweze kuendesha maisha baada ya chuo na nipo semi ya mwisho. Sijui nitaweza!!!!!!!!!