CONFIRMED!!
Maafisa Utumishi na Maafisa Utawala wote waliokuwa wanaanza na TGS D, sasa wamehamishwa mpaka TGS E which means wataanza na salary ya 1.15m kwa TGS E1. OKTOBA NITATIKI HATA MARA MBILI KAMA INAWEZEKANA
Me nadhani kusingekuwa na ulazima wa kuwachuja hao best performers. Kama kweli kuna nia ya kuwapa scholarship kwa watoto waliofanya vizuri mitihani yao ya kidato cha sita then wapewe wote tu.
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kufanya Written Interview kwa mara ya kwanza juzi Ijumaa pale UDSM (Human Resource Officer II), nimepata majibu leo na nimekuwa selected kwenda Oral Dodoma. Hakika Mungu ni Mkuu mno, tuendelee kumtumainia yeye bila kukata tamaa. Naamini atasimama na mimi katika Oral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.