Tuendelee na uvumilivuWakuu wapo kimya awataki kuleta shuhuda
Sisi wengin bado tunaendelea kuwa wavumilivu
Tuendelee na uvumilivuWakuu wapo kimya awataki kuleta shuhuda
Sisi wengin bado tunaendelea kuwa wavumilivu
Mimi na furaha kwa wote wanaoendelea kupata na amini zamu yangu yajaWakuu Ina maana PDF zote za Leo hazina shuhuda????
Hongrera sana mkuu. innallaha ma sabireen🤲🏽
Naomba kufahamu ulifanya Oral Interview lini ili na sisi tukadirie muda wa PDF let
Asante sanaHongera sana sana mkuu...
Nimepata baruaKwenye account vp umekutana na print placement latter..ama PDF ndio limekusanua... 🤔 🤔
Hongera sana mkuu kwa kuingia kwenye utumishi wa umma. Karibu kwenye foleni za kusubiria kupigiwa simu na mwajiri 😛.Nimepata barua
Hili jambo linaumiza sana kichwa. Ila Mungu ni mwaminifu, tutaendelea kumtegemea yeye hata utimlifu wa dahari.Hongera sana mkuu kwa kuingia kwenye utumishi wa umma. Karibu kwenye foleni za kusubiria kupigiwa simu na mwajiri 😛.
Mkuu mwez wa 7 ndo huoooooo!!!! Utaoigiwa week ijayo 😅Hongera sana mkuu kwa kuingia kwenye utumishi wa umma. Karibu kwenye foleni za kusubiria kupigiwa simu na mwajiri 😛.
Tuendelee kuamini soon utapataMimi na furaha kwa wote wanaoendelea kupata na amini zamu yangu yaja
Mungu awaone mkuu nanyi muingie kwenye asali🙏🙏Wakuu wapo kimya awataki kuleta shuhuda
Sisi wengin bado tunaendelea kuwa wavumilivu
Wakuu wanasubiria Pdf IT yupo kimya leoLeo hakuna shuhuda wakuu?
Hiyo ni pata potea aisee. Leo huenda ikaisha kapaWakuu wanasubiria Pdf IT yupo kimya leo
Leo naona anajipa liikizo maana sio kwa ukimya huuHiyo ni pata potea aisee. Leo huenda ikaisha kapa
Ngoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTEKuna pdf huko , leteni ushuhuda
Hongera sana mkuuNgoja tumalizan na dabi nakuja na ushuhuda wakuu MUNGU NI MWEMA MDA WOTE
Shukran mkuuHongera sana mkuu