Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,126
- 131,851
BadoMbaga hivi kwani bado tu hujapata kazi Gavoo?
BadoMbaga hivi kwani bado tu hujapata kazi Gavoo?
Ukifika mjini chukua boda akupeleke ni kama 2000 na ni karibu na jengo jipya la Mahakama kuu, Judiciary Square kama unalijuaMsaada : hizi ofisi za secretariat ya ajira tambukareli ni maeneo gani hapa dodoma ....
Aisee naona Bahati ndio imeamua kukaa upande tofauti na wewe, ila itakuja tu ni swala la Muda. All the bestBado
Kuna wanangu wawili mwaka jana waliingia oral ya tutorial assistant chuo kimoja hivi Dar. Wao walitoswa kwani alihitajika mtu mmoja tu, mwezi May mwaka huu wamepata placement taasisi kubwa tu za serikali Kupitia database sababu ya hio oral ya tutorial assistant.University, institute,or college?
Kimegoma nini?hiki kimulimuli cha camartec kimegoma
ndo nashangaa maana chenyewe ilitakiwa kiwe cha kwanza kuzimaKimegoma nini?
Kuna mwingine kapata leo database TBA Kupitia interview ya Tutorial assistant hadi najuta kwanini sikwenda kwenye hizo interview.Kuna wanangu wawili mwaka jana waliingia oral ya tutorial assistant chuo kimoja hivi Dar. Wao walitoswa kwani alihitajika mtu mmoja tu, mwezi May mwaka huu wamepata placement taasisi kubwa tu za serikali Kupitia database sababu ya hio oral ya tutorial assistant.
Watu hawajui database ina apply everywhere mtu anakuja kupotosha umma eti nafasi za kufundisha vyuoni hazina database,kikubwa upate ile alama inayohitajikaKuna mwingine kapata leo database TBA Kupitia interview ya Tutorial assistant hadi najuta kwanini sikwenda kwenye hizo interview.
bwana bwana bado tupo benchi mkuu.... Mimi hadi nawaza labda wamesahau walitukanda....Rahsully na Kandambili1 leteni shuhuda..
dah yaani leo wameniacha mdomo wazi..bwana bwana bado tupo benchi mkuu.... Mimi hadi nawaza labda wamesahau walitukanda....
Mimi nikipata utajua mkuu🤣🤣 wote humu ndani mtafaham hahahah sina kazi ndogo.
labda wamesahau tumefanya interview mkuu ....sio kwa ukimya huudah yaani leo wameniacha mdomo wazi..