Kwa mujibu wa screenshot uliotuma , hiyo error ipo kwenye backend/ database issue katika system Yao , ukiweka information zako zinaleta account mbili zinazofanana na information zako . Hayo ndio majibu niliopata baada ya kutafuta maana ya error unayoletewa. Hata ujaribu tena haito kibali wasiliana na utumishi, iyo ni kesi Yao .Nisaidie ku login kwenye app tafadhali