Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 454
- 1,413
Hongera sana Mkuu, sasa endelea kujiaandaa vyema, kuomba kwa sana pia usisahau kuvunja kabati siku iyo maana apo ndipo kwenye ushindi wa mwishoNashukuru Mungu nilifanikiwa kufanya Written Interview kwa mara ya kwanza juzi Ijumaa pale UDSM (Human Resource Officer II), nimepata majibu leo na nimekuwa selected kwenda Oral Dodoma. Hakika Mungu ni Mkuu mno, tuendelee kumtumainia yeye bila kukata tamaa. Naamini atasimama na mimi katika Oral niweze kupata ajira Insha Allah.