Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 460
- 2,322
Mkuu siku nyingine uwe unataja kabisa jina la mkoa, mambo ya X na Y ni sawa unaturudisha shule kutafuta thamani ya X, wakati tumeambiwa twende VETA 😂.Wakuu, nilituma maombi ya kazi PSRS nikiwa Mkoa "X", hivyo anuani niliyokuwa nimeandika kwenye mfumo na kwenye barua ni ile ya huko Mkoa "X". Status ya maombi bado inasomeka Received. Kwa kifupi ni kwamba hawajatoa shortlist mpaka leo.
Lakini kwa sasa nimehamia Mkoa "Y". Nimebadilisha anuani kwenye mfumo na kuweka anuani ya nilipo kwa sasa ila barua ile inasoma anuani ya awali (huwezi badilisha tena ukishatuma maombi).
Je, shortlist ikitoka watanipangia nikafanye usaili Mkoa "X" au "Y"?
Kwa kujibu swali lako: Usahili utapangiwa kufanyia mkoa Y.