HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi wakuu kuna haja ya kungoja pdf? Si nasikia sasa hivi placements unaikuta kwenye account yako masaa matatu kabla ya mkeka?
Bado kuna haja ya kungoja pdf ili ujue kuwa kada yako wameshaanza kuita watu , pia ujue tarehe zile ulizofanya usaili zimefika?
Maana kwenye pdf huwa wanaandika na tarehe husika ya waliofanya usaili.
kuwa Updated ni muhimu sana.
 
Hivi wakuu kuna haja ya kungoja pdf? Si nasikia sasa hivi placements unaikuta kwenye account yako masaa matatu kabla ya mkeka?
Kumbe placement inakuwepo mapema hivyo!
Basi mimi nitakuwa nachungulia zangu saa 6 mchana, saa 9 alasiri, saa 12 jioni na saa 3 usiku basi. Yakipita masaa yote hayo hola; najipanga kusubiria siku inayofuata.
 
Nimechoka kupitia pdf kilichobak nawaachia wadau wangu wakiniona wanipigie tu simu
Kama una received jipange upya wenzako mpaka tunaona jina tumeingia oral karibu mbili wengine tatu piga msuli boresha ulipokwama kwenye oral ya kwanza

#,give up is not option....
 
Back
Top Bottom