Hongera kakaNdugu zanguni nimeshamaliza oral interview. Nimeambiwa baada ya wiki tatu wataweka majibu kwenye website yao. Nahitaji maombi yenu ili nilete ushuhuda. Asanteni
Hongera kakaNdugu zanguni nimeshamaliza oral interview. Nimeambiwa baada ya wiki tatu wataweka majibu kwenye website yao. Nahitaji maombi yenu ili nilete ushuhuda. Asanteni
Amina sana Mkuu, tuombeane Kheri Insha AllahNeema ya Mungu iwe pamoja nawe.
Ushuhuda ujao, utakuja kutoa ni WA kupangiwa kazi Tena sehemu nzuri sana.
Ingia humo ukutane na wenzio ni Customs sio CustomersHabari! Mwenye abc za nafasi ya Customers Officer TRA naomba anisaidie jamani kwenye written au kama kuna group ambayo kunafanyika discussion.
Kwa dakika 20 mkuuHongera sana mkuu, ni kwa muda gani unafanyiwa hiyo interview?
Ingia humo pia upambane mwanangu ugali huo usiuache ukupiteHabari! Mwenye abc za nafasi ya Customers Officer TRA naomba anisaidie jamani kwenye written au kama kuna group ambayo kunafanyika discussion.
Oral dakika 20?Kwa dakika 20 mkuu
Ndio. Dakika 20Oral dakika 20?
Post gani hio Madini au uchenjuaji miamba?Ndio. Dakika 20
nying eeh?Post gani hio Madini au uchenjuaji miamba?
20 nyingi huko watu wanapewa 5 tu km hujajianda Outnying eeh?
Wengine wanasema eti ni watu waw2 tofautiHapo hakuna tatizo, Cha msingi awe na Kitambulisho tu chenye kufanana na hayo majina, awe na amani akapambanie kombe Kwa TRA.
5m written acha utan.20 nyingi huko watu wanapewa 5 tu km hujajianda Out
Oral sio written5m written acha utan.
Auna haja ya kumshauri mwambie ukweli tuu kwamba asiweke mayai yote kwenye kapu moja ivyo ni vyema kuwa na makapu mawili kisha agawanye mayaiKuna mdogo wangu amepachaguliwa Oral ya MDAs & LGA yeye yuko Lindi lkn anaona kazi za LGA kwake sio kipaumbele anataka kuforce TRA nimeshindwa kumshauri nawezaje kumuelewesha akubali kupiga oral za LGA akipata hata akipangwa Kibakwe huko aende tu.
Kumbe wameshaita oral? Lini wameita mkuu?Kuna mdogo wangu amepachaguliwa Oral ya MDAs & LGA yeye yuko Lindi lkn anaona kazi za LGA kwake sio kipaumbele anataka kuforce TRA nimeshindwa kumshauri nawezaje kumuelewesha akubali kupiga oral za LGA akipata hata akipangwa Kibakwe huko aende tu.
Sijui last week maana kaniambia jana hiyo.Kumbe wameshaita oral? Lini wameita mkuu?
Ok. Maana nina ndugu yangu nae alifanya nilimuuliza akasema bado majibu. AsanteSijui last week maana kaniambia jana hiyo.
muache,akili kumkichwaAuna haja ya kumshauri mwambie ukweli tuu kwamba asiweke mayai yote kwenye kapu moja ivyo ni vyema kuwa na makapu mawili kisha agawanye mayai
Kama akielewa huo msemo unamaana gani basi atakuwa amekuelewa kwa nini ni muhimu kufanya interview za MDAs and LGAs