HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamaa amedhamiria kutunywesha chai.
Mkuu sidanganyi mtu nimeulizwa maswali 20, majibu yakitoka ntataja taasisi kazi ni ya muda ( 3 years contract) na ni project ya wazungu lkn unasimamiwa na taasisi hyo kubwa ya serikal, kwahyo sjafanya usaili wa utumishi ni taasisi kubwa na pendwa ya serikal hawachukuagi vilaza ni taasisi ya elimu ya juu kubwa hapa Tanzania, ukiachana na Ile ya pale kivulini
 
Mkuu sidanganyi mtu nimeulizwa maswali 20, majibu yakitoka ntataja taasisi kazi ni ya muda ( 3 years contract) na ni project ya wazungu lkn unasimamiwa na taasisi hyo kubwa ya serikal, kwahyo sjafanya usaili wa utumishi ni taasisi kubwa na pendwa ya serikal hawachukuagi vilaza ni taasisi ya elimu ya juu kubwa hapa Tanzania, ukiachana na Ile ya pale kivu
kweli mkuu kuna kazi maswali yanakuwa mengi balaa...
Mimi nilikutana na panel ya watu 6...nikaambiwa nipresent kwa dakika 5 slide 10 alafu nikala maswali 8 heavy mpk ya project management alaf post ya Tutorial Assistant comp. Engineering...
 
kweli mkuu kuna kazi maswali yanakuwa mengi balaa...
Mimi nilikutana na panel ya watu 6...nikaambiwa nipresent kwa dakika 5 slide 10 alafu nikala maswali 8 heavy mpk ya project management alaf post ya Tutorial Assistant comp. Engineering...
Ndo hvo watu hawaamn mwingne anauliza maswali mawili Kwa wakati mmoja Tena asema Nina maswali mawili la Kwanza fulan fulan, lapili fulan fulan SEMA ni vile nilikua najibu fasta schukui muda kujbu nilijipanga sana usku na mchana nasoma
 
Hakuna kilichowezekana kwenye huu uzembe.

"..Hi Bro, these people wamenizuia kufanya hii paper tena hawajataka kabisa kusikiliza na kuelewa utetezi wangu wakidai kuwa sikuwa makini kwenye maandalizi yangu ya kuja kufanya usaili.

Natua silaha chini narudi nyumbani, until further fight, I hope we'll win the battle.

Thank you Kaka.."
Uzembe wa hali ya juu.

Unatakiwa ukague silaha kabla ya kusafiri, hata asubuhi ukiamka kwenda kwenye usaili kagua silaha huenda panya kanyofoa vingine, ukifika eneo la tukio kagua tena kabla wasimamizi hawajaanza kukagua.
 
Back
Top Bottom