Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Hongera sana, ukawe Mtumishi mwadilifu.Jamani wazee natoa ushuhuda kwenye pdf ya jana namimi nimebahatika kuingia asalini niwasihi tuendelee kuhudhuria saili na kikubwa tufike oral mungu atatenda