Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

Samia Scholarships students 2025-2026 mwenye nayo atuwekee hapa please

Me nadhani kusingekuwa na ulazima wa kuwachuja hao best performers. Kama kweli kuna nia ya kuwapa scholarship kwa watoto waliofanya vizuri mitihani yao ya kidato cha sita then wapewe wote tu.
 
Mwaka huu 99.95% wamefaulu. Hiyo scholarship hipo kweli?
uko sahihi. ufaulu wa kitoto kabisa naweza sema. lakini mkenda kasema watakwenda kwenye raw marks...mfano kama wote wana div 1 pt 3, watakwenda kweye raw marks. Aliyepata 99 atachukuliwa na kuachwa wa 98! tafuta clip inazunguka ameeleza hivyo
 
Back
Top Bottom