Ndugu yangu Buchanan (sijui unamjua vizuri mmarekani huyo?)
Iran ikishambuliwa, itakuwa balaa ambayo haijawahi kutokea; mafuta yatapanda mara tatu kama si zaidi, biashara duniani itaathirika. Hapa kwetu usafiri, umeme, mbolea, vifaa na bidhaa za viwandani havitashikika, nchi itabomoka! Iran siyo...